Unasema like la nga'nda?Tatizo lile wingu likiishazingira mahala, husambaa hadi kwa kizazi kijacho hivyo ni shida sana kwa sasa.
Ndo utaratibu wao wale jamaa wa kule nanihii kule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema like la nga'nda?Tatizo lile wingu likiishazingira mahala, husambaa hadi kwa kizazi kijacho hivyo ni shida sana kwa sasa.
Ndo utaratibu wao wale jamaa wa kule nanihii kule.
Wanabodi,
Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura!
Karibuni Burundi, wale wa yale mambo yetu yale!, huku ni mambo ya interlucustrine!, sii mchezo!. Tanzania sirudi!.
Paskali
Tupo tuliohamia huku, karibu.Viongozi nao waache Viburi wajishushe na Watusikilize na sio kutuambia tuhamie Burundi.