Tulioitika Wito Kuhamia Burundi, Tumefarijika Sana Kumuona Former First Lady, Mama Salma Kikwete. Kumbe Rais Akiwa Mwanamke, Nchi Haina First Lady!

Tulioitika Wito Kuhamia Burundi, Tumefarijika Sana Kumuona Former First Lady, Mama Salma Kikwete. Kumbe Rais Akiwa Mwanamke, Nchi Haina First Lady!

Wanabodi,

Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura!

Karibuni Burundi, wale wa yale mambo yetu yale!, huku ni mambo ya interlucustrine!, sii mchezo!. Tanzania sirudi!.

Paskali
Viongozi nao waache Viburi wajishushe na Watusikilize na sio kutuambia tuhamie Burundi.
Tupo tuliohamia huku, karibu.
P
 
Back
Top Bottom