Tulioitwa usaili wa OSHA tukutane hapa

Tulioitwa usaili wa OSHA tukutane hapa

Kategele

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
1,055
Reaction score
2,466
Baada ya kukaa kusubiri takribani miezi mitatu hatimaye umeitwa kwenye usaili.​
Njoo hapa uelezee namna ambavyo unajipanga na usaili.​
 
Niliomba kada ya electrical inspector kwa zone ya kusini(kanda ya kusini) mkuu
OK jaribu kusikilizia pengine wanaita kwa awamu au kama vipi pengine wamepiga ukawa hupatikani so Jtatu unaweza kwenda kuulizia pale ofsini yamkini wengine watakuwa wamepangiwa interview jumatatu.​
 
OK jaribu kusikilizia pengine wanaita kwa awamu au kama vipi pengine wamepiga ukawa hupatikani so Jtatu unaweza kwenda kuulizia pale ofsini yamkini wengine watakuwa wamepangiwa interview jumatatu.​
Niko kijijn kwel alafu siko Dar es salaam dah najua nikwel yawezekan walipiga kama nipo kwenye listi sipatikani
 
Aliyewahi kufanya usaili kwa hii taasisi “OSHA” naomba aweze kushare uzoefu wake..natanguliza shukran za dhati.
 
Wakuu mliofanya interview osha vp kada ya electrical inspector tayar?? Leo kuna namba imenipigia marambili simu ilikuwa mbali , +255222771069 sasa sijuh ndio jamaa wa osha?? Au nipe uzoefu
 
Back
Top Bottom