Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kada ipi wewe?Baada ya kukaa kusubiri takribani miezi mitatu hatimaye umeitwa kwenye usaili.Njoo hapa uelezee namna ambavyo unajipanga na usaili.
Hongera, interview lini?Building and Construction
Hii ni kwa private inspector au??hongera, interview lini?
Wameita lini? Wametoa majina au wamepiga simu?Baada ya kukaa kusubiri takribani miezi mitatu hatimaye umeitwa kwenye usaili.Njoo hapa uelezee namna ambavyo unajipanga na usaili.
Private inspector??Wamepiga simu leo kada ya Building and Construction sijajua kwa kada zingine maana inavyoonesha wanapiga simu.
Sawa interview lin kiongoz wanguNdiyo private Inspector walizotanganza June
Niliomba kada ya electrical inspector kwa zone ya kusini(kanda ya kusini) mkuuAlhamis next week sijajua wengine itakuwa lini uliomba kada IPI mkuu
Niliomba kada ya electrical inspector kwa zone ya kusini(kanda ya kusini) mkuu
Niko kijijn kwel alafu siko Dar es salaam dah najua nikwel yawezekan walipiga kama nipo kwenye listi sipatikaniOK jaribu kusikilizia pengine wanaita kwa awamu au kama vipi pengine wamepiga ukawa hupatikani so Jtatu unaweza kwenda kuulizia pale ofsini yamkini wengine watakuwa wamepangiwa interview jumatatu.
msaada kwenye hili wana jamviAliyewahi kufanya usaili kwa hii taasisi “OSHA” naomba aweze kushare uzoefu wake..natanguliza shukran za dhati.
Kwani nawe umeitwa kwenye usaili? Na kama umeitwa uliomba kada ipi?msaada kwenye hili wana jamvi
Occupational nursingKwani nawe umeitwa kwenye usaili? Na kama umeitwa uliomba kada ipi?