Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli bwana hata mi ni mhusika ila nilitaarifiwa japo si rasmi sana kuwa mwisho wa mwezi huu kitaeleweka vzr tu na depo ni mwezi wa 9 -2012 c umesikikia kuwa usaili kwa f4&6 watu 1875 imetangazwa?. Hivyo juwa kama ukibahatika utakuwa depo moja na hawa. Pia kumbuka kwenye ile police graduate application form tuliojaza ilikuwa na chati ya kuingiza matokeo yetu kama itakavyothibitishwa na university exam authority.Na kuwa watachukuwa watu 3000 wa shahada ya kwanza. Hata hivyo jaribu nawe kutafuta taarifa zaidi kwani hata mimi ni mhusika.Jamani wa jf mi naomba kuuliza kwa yaeyote mwenye taarifa kuhusu mchakato mzima wa wale tuliojaza fomu zakujiunga na upolisi tukiwa chuoni mwezi june coz mi binafsi sijui hata kinachoendelea mpaka sasa.