Tuliojaza fomu za upolisi tukiwa chuoni

Tuliojaza fomu za upolisi tukiwa chuoni

Makambuya

Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
45
Reaction score
3
Jamani wa jf mi naomba kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu mchakato mzima wa wale tuliojaza fomu zakujiunga na upolisi tukiwa chuoni mwezi june coz mi binafsi sijui hata kinachoendelea mpaka sasa.
 
Jamani wa jf mi naomba kuuliza kwa yaeyote mwenye taarifa kuhusu mchakato mzima wa wale tuliojaza fomu zakujiunga na upolisi tukiwa chuoni mwezi june coz mi binafsi sijui hata kinachoendelea mpaka sasa.
Kweli bwana hata mi ni mhusika ila nilitaarifiwa japo si rasmi sana kuwa mwisho wa mwezi huu kitaeleweka vzr tu na depo ni mwezi wa 9 -2012 c umesikikia kuwa usaili kwa f4&6 watu 1875 imetangazwa?. Hivyo juwa kama ukibahatika utakuwa depo moja na hawa. Pia kumbuka kwenye ile police graduate application form tuliojaza ilikuwa na chati ya kuingiza matokeo yetu kama itakavyothibitishwa na university exam authority.Na kuwa watachukuwa watu 3000 wa shahada ya kwanza. Hata hivyo jaribu nawe kutafuta taarifa zaidi kwani hata mimi ni mhusika.
 
Achaneni na upolisi hamna hela huko jaribuni jwtz,mimi mwenyewe nilikataa kujaza izo form nilivyokuwa formsix,alaf vyeo huko polisi ni kazi kupanda mtu mwenye degree anapewa nyota moja ,wakati degree jwtz unakula nyota mbili upolisi hauna dili
 
dah nashukuru kwa infor acha na mimi nifuatilie alafu nitapost nitakachopata.
 
Back
Top Bottom