Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Host rahisi sana ..post kwenye magroup ya watanzania walioko marekani..ni chap tu unapata au tafuta watu walio na ndugu huko.....usiache hiyo fursa Luna watu wanasotea miaka na hawapati..Mimi nilijijazia mwenyewe nikapata ,ila nimekwama kujaza fomu ya D 260 maana wanataka niweke address ya mtu atakayenihost nikienda huko wakati sina mtu, nilitaka niende mwenyewe bila kutegemea host family. Nimeamua kuachana nao
Naona umejileta mwenyewe... ile mitoto uliyoiweka pale ndo inetuingiza mkengeKwenye kujaziwa sio tatizo tutambue kuwa ile ni bahati nasibu aidha upate au laah mlikuwa wengi umakini kidogo lazima ukosekane, next time mliojaziwa mjijazie wenyewe lakini pia mtambue ile picha yako lazima iwe na specific kb iweze kuwa uploaded. msijali next time mambo yatakuwa fresh.
Kujaziwa kupo incase huna uelewa wa hilo linalofanyika au unakuwa ujiamini vya kutosha,
mfano; hata pasipoti watu wanajaziwa kisha wanalipa 10k
Mr. Ernest hana baya alikuwa anatoa watu tongo tongo la uvivu[emoji23]
Sasa mi hata sijaulizwa ilo swali angalieni jamani🤯🤯🤯Host rahisi sana ..post kwenye magroup ya watanzania walioko marekani..ni chap tu unapata au tafuta watu walio na ndugu huko.....usiache hiyo fursa Luna watu wanasotea miaka na hawapati..
Sio studio zote wanaweza na ndicho alichotukamatia yule jamaaKama unajaziwa fomu ya green card halafu unalipa pesa basi utakuwa na safari ndefu sana ufanikiwe ktk mambo mengi...fomu ni simple kuliko maelezo hata dk 5 nyingi umemaliza....picha unaenda kupiga kwa photo shop ukisema tu unataka kwa ajili ya green card au US Visa wanajua vipimo ....
Unaweza kunisaidia ndugu nikapata magrup maana ni hilo tu nimekwama ndugu yanguHost rahisi sana ..post kwenye magroup ya watanzania walioko marekani..ni chap tu unapata au tafuta watu walio na ndugu huko.....usiache hiyo fursa Luna watu wanasotea miaka na hawapati..
Tarehe ya mwisho ya kuchaguliwa ni September 30 kwahio endelea kuangalia mpaka hio tarehe 30 September.Kwa ivo tumepigwa
Sa niangalie nn na nshaambiwa fomu haikukamilika??Tarehe ya mwisho ya kuchaguliwa ni September 30 kwahio endelea kuangalia mpaka hio tarehe 30 September.
Nipe namba yako(registration #)uliocheza na jina la mwisho pamoja na mwaka ulio zaliwa. Niangalie hio information yakoSa niangalie nn na nshaambiwa fomu haikukamilika??
Kwann nisi screen shot nikakutumia?Nipe namba yako(registration #)uliocheza na jina la mwisho pamoja na mwaka ulio zaliwa. Niangalie hio information yako
😂😂Hoja yangu ni hii, nataka tufahamiane iwapo yupo yeyote aliyechezewa Green Card Lottery na yule jamaa pale Mlimani City nyuma ya lile ghorofa pale pembeni jina nimesahau.
Itume hio screenshotKwann nisi screen shot nikakutumia?
Mada ya kinafiki na uongo ,wewe unasema fomu haukukamilika halafu matokeo uliweza kuyaangalia ,una wazimu wewe ?Poleni kwa misiba Watanzania,
Naanzisha uzi huu kama rambi rambi kwa mwanachama mwenzetu aliyefariki hivi karibuni mzee wa bomayeee, case closed, free education n.k, kifupi tutammiss kwa zile mbwembwe zake katika social networks.
Hoja yangu ni hii, nataka tufahamiane iwapo yupo yeyote aliyechezewa Green Card Lottery na yule jamaa pale Mlimani City nyuma ya lile ghorofa pale pembeni jina nimesahau.
Maana mimi jamaa alinigonga zaid ya 20 kunichezea ile lottery, chaajabu siku ananijazisha nakishangaa vitu vilivyojazwa vilikua very simple hata mi fomu yenyewe ka ilikuwa na sehemu nyingi ziliachwa wazi. nikasema mhhh mi ngosha bana kutoka nangende najua nini? Nikakausha baada ya kugongwa nikasema ngoja tuone.
Wallah juzi nacheki majibu yangu heeeh naambiwa "Fomu haikukamilika," nimeumia sana, sasa nikajiuliza ndio mana nilikuwa na wasi wasi au ndio namna wanavyojibu kwa walikosa nafasi?
Sasa wenzangu na mimi vipi mmekutana na majibu gani na je, nanyi mlijaziwajwe? Kuna aliyepokea ujumbe wa kubahatika kupata hio Green Card au tumepigwa?
Muwe mnajaribu hata kuingia Google na kupata maarifa sio kila kitu kubeba tu kama machoko , unaweza tuonesha hapa hiyo message ya " fomu yako haijakamilika ? "Mbaya zaidi waliojaziwa na bwana kipara wengi wao wamekutana na "Fomu yako hayajakamilika" 🤣🤣
Screenshot hiyo message tuone hapa ,acheni mada za kipumbavuPoleni kwa misiba Watanzania,