Acha uvivu , host unaweza ukamcontact EBM mwenyewe ,namba yake ya whatsapp hii hapa ,unaweza isave halafu ukamuomba umuweke kama host wako au akutafutie host wako .
Wanaweka hiyo ya host ili iwe address ambapo hiyo green card yako utapokelea ukiwa kule Marekani ,wenzetu wanaenda kwa address ya makazi , Dv card hupewi ukiwa Bongo hapa ,hiyo Dv card unapewa ukishaingia Marekani sasa wameweka host kwa sababu hapo ndipo hiyo card yako watapeleka na wewe utaichukulia hapo na si kwamba lazima uishi kwa huyo host uliyemjaza kwenye hiyo form .
Namba ya EBM hii hapa ,mcheki kwa whatsapp mwelezee shida yako atakujibu tu na kukusaidia
+1 (913) 687-8922
Namba yake hiyo ,ipo whatsapp pia .
Watu wapumbavu humu wanakatisha tamaa wengine na hawana hata clue ya wanachoongea ,idiots .
Hongera kwa kushinda ,hiyo chance ni ya dhahabu usiichezee ,mcheki huyo jamaa