Tuliojaza Green Card Lottery mitaa ya Mlimani City surveys majibu vipi?

Mimi nilijijazia mwenyewe nikapata ,ila nimekwama kujaza fomu ya D 260 maana wanataka niweke address ya mtu atakayenihost nikienda huko wakati sina mtu, nilitaka niende mwenyewe bila kutegemea host family. Nimeamua kuachana nao
Mkuu hebu changamkia hii Fursa tafuta host kwa namna yoyote ile..

Usiache hii fursa ikupite
 
Mimi nilijijazia mwenyewe nikapata ,ila nimekwama kujaza fomu ya D 260 maana wanataka niweke address ya mtu atakayenihost nikienda huko wakati sina mtu, nilitaka niende mwenyewe bila kutegemea host family. Nimeamua kuachana nao
Acha uvivu , host unaweza ukamcontact EBM mwenyewe ,namba yake ya whatsapp hii hapa ,unaweza isave halafu ukamuomba umuweke kama host wako au akutafutie host wako .
Wanaweka hiyo ya host ili iwe address ambapo hiyo green card yako utapokelea ukiwa kule Marekani ,wenzetu wanaenda kwa address ya makazi , Dv card hupewi ukiwa Bongo hapa ,hiyo Dv card unapewa ukishaingia Marekani sasa wameweka host kwa sababu hapo ndipo hiyo card yako watapeleka na wewe utaichukulia hapo na si kwamba lazima uishi kwa huyo host uliyemjaza kwenye hiyo form .

Namba ya EBM hii hapa ,mcheki kwa whatsapp mwelezee shida yako atakujibu tu na kukusaidia

+1 (913) 687-8922
Namba yake hiyo ,ipo whatsapp pia .

Watu wapumbavu humu wanakatisha tamaa wengine na hawana hata clue ya wanachoongea ,idiots .

Hongera kwa kushinda ,hiyo chance ni ya dhahabu usiichezee ,mcheki huyo jamaa
 
Email yake pia hii hapa
ebm@ebmscholars.com
 
Mimi nilijijazia mwenyewe nikapata ,ila nimekwama kujaza fomu ya D 260 maana wanataka niweke address ya mtu atakayenihost nikienda huko wakati sina mtu, nilitaka niende mwenyewe bila kutegemea host family. Nimeamua kuachana nao
Tia juhudi utapata address wapo watu wengi wanatoa either bure au kwa hela.
 
Sema unakejeli nyingi sana. Ina onekana ukimsaidia mtu Una msimanga sana.
 
Mkuu naomba heshimu kipara tafadhali.
 
Nashukuru kaka kwa muongozo,ngoja niwasiliane na makuliro, vip huwezi kunisaidia pia nikapata
 
Maneno haya ndo yakuingiza watu mkenge muwatapeli...
 
EBM mimi sipigwi bana kwa maslai yako.... tumia akili za nini hasira ka sijakushika pabaya??
Soma uelewe thread kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…