kuna muda inabidi umuhurumie tu umuokoe
Kuna muda utazama naye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna muda inabidi umuhurumie tu umuokoe
kuna mambo ukiyapata ki ubishi lazima uje ujute.Kuna mambo bila ya ubishi huwezi kuyapata.
JF yenu bado haijaanzishwa...Tuliojiunga kuanzia 2016 tunacomment wapi
😀 bado watoto kueni kidogo.Tuliojiunga kuanzia 2016 tunacomment wapi
kuna muda utaibuka nayeKuna muda utazama naye.
Kuna mambo sio kazima yatupatie msemo..Hakyanani Jf never boring. Mmeshajipatia kamsemo
Yaani wamaanisha nami ni Mhenga?!Karibuni wahenga wenzangu.
Mkuu zungumzia hata wanunuzi wa nyanya,korosho,mahindi n.k
Kuna mambo huwezi kujizuia kucheka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kuna vicheko sio lazima ukenue mbele za watu.
Kwahiyo kama bado haijaanzishwa sisi tupo wapi sasa humuJF yenu bado haijaanzishwa...
Nitafutie wa kunikuza jamani niwe kama nyie😀 bado watoto kueni kidogo.
KabisaaYaani wamaanisha nami ni Mhenga?!
Kuna mambo sio lazima uyajue...Kwahiyo kama bado haijaanzishwa sisi tupo wapi sasa humu
Kuna mambo sio lazima uulizie dhamira yake...Tukutane kufanya nn mkuu
Kuna mambo huwezi kujizuia kucheka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa nn uliniambia sasa kama ulitaka nisiyajueKuna mambo sio lazima uyajue...
kuna muda utaibuka naye