Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kuna mambo bila utafiti huwezi kuyajua...Kuna mambo lazima tuyaperuzi na kuyadadisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mambo bila utafiti huwezi kuyajua...Kuna mambo lazima tuyaperuzi na kuyadadisi.
Bora pembe ya mbuzi inafichika kigo doKuna mambo hayajifichagi kama pembe za mbuzi.
kuna mambo inabidi uachane nayo tuKuna mambo watu wanashauku kuyajua...
Kuna mambo bila utafiti huwezi kuyajua...
msisahau kutaja na id zenu zingine kumi kumi.
Kuna mambo ukiachana nayo utayajutia baadae..kuna mambo inabidi uachane nayo tu
kuna mambo inabidi uachane nayo tu
Kuna mambo yatamchukiza hapaKuna mambo Agata ata-Mind hapa.
Kuna mambo ni lazima yabaki siri.
ahahaaaa ayaaa
kuna mambo si ya kuyaogopaKuna mambo yakiwa poa ujue ni mtego.
Kuna mambo yatamchukiza hapa
Tupo, 2008, na tulikuwa nayo toka ikiwa na lile jina lingineKaribuni wahenga wenzangu.
kuna mambo hutakiwi kufahamuKuna mambo ningependa kuyafahamu kutoka kwako mrembo.
kuna mambo yanafurahishaKuna mambo sio lazima ubalance[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kuna mambo si ya kuyaogopa
kuna mambo hutakiwi kufahamu