Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Ni ruksa kuja kukutembelea.......?Nipo nyegezi corner hapa.
Karibu jirani.Ni ruksa kuja kukutembelea.......?
Weewe nikiboko nilikua sijcheka siku nzima ya leo....ππJumatatu nipo magomeni huku mnadani
Jumanne nipo kitangiri mnadan
Jumatano kiloleni
Alhamis mapumziko
Ijumaa pale nyakato national mnadani
π
Jmosi makoroboi namshikia mtu kusagulasagula
Jpili ndani ya saba saba huko ilemela
kazi ya umama ntilie haijawahi muacha muuza mitumba salama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Okay nashukuru, pindi nikipata muda nitajongea..................Karibu jirani.
Huyo ni wewe kwenye avatar?Karibu jirani.
NdiHuyo ni wewe kwenye avatar?
Karibu sanaOkay nashukuru, pindi nikipata muda nitajongea..................
Asante, usiku mwema sisy.