mchagahalisi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 619
- 361
Kijiweni hapo min market?Niko kijiweni hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijiweni hapo min market?Niko kijiweni hapa
Jirani yngu wwNipo nyegezi corner hapa.
Haya bnaa
Eee ndiyo mimi mkuu...vip hata yako ndo wewe......?mbona unauliza lakini mkuuMakosa ya mtandao mkuu. Bora hata ningekuwa nauza unga
hiyo picha ya kwenye avater ndiyo ww mkuu? Umetoka bomba sana
Asante jiraniJirani yngu ww
Hii ni picha ya mwanangu anaitwa Hercules. I love him very much. Nataka nikapeleke English medium kakomae hukoEee ndiyo mimi mkuu...vip hata yako ndo wewe......?mbona unauliza lakini mkuu
KaribuNipo nyegezi corner hapa.
Karibu saharaNipo nyegezi corner hapa.