mkalusanga
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 369
- 446
quarters sehem ganihahaha haya mm nipo quarters.
hapa kwa jamaa flani anafanya kazi kituo flani cha Luninga hapa Tz.quarters sehem gani
Sehemu gani exactly?Nipo bwiru~TBL hapa! napunga upepo wa ziwa victoria
Hehehe...nyuma ipi sasa sababu najua mle shimoni kwenye eneo la CWT huwezi ishi.mkuu Sumve 2015 vipi unataka nikuelekeze hadi namba ya nyumba?
hapo ntakua sina haja ya kutumia ID feki!
Pole sanaWatu wa mwanza leo nimeshuhudia ajali mbaya sana maeneo ya round about iliyopo jirani na jengo la CCM aisee mpaka mda huu siko sawa kabisa kichwani, ilikuwa mida fulani asubuhi kati ya saa 07:30-07:52 ni hatari kwa kweli!!