Tulioko Mwanza Tukutane hapa

Tulioko Mwanza Tukutane hapa

Tuweke biashara sasa. Mimi nipo nyuma ya nyamagana. Muuzaji wa samaki kwa anaehitaji karibuni sana wapendwa. Kwetu ubora ni utamaduni
 
Nipo malimbe but muda si mrefu naingia mjini Kati nkitoka hapo kiseke halafu Igoma
 
Back
Top Bottom