Tulioko Mwanza Tukutane hapa

Tulioko Mwanza Tukutane hapa

Nakaa Nyegezi kona Karibuni saana Nahisi Wa Nyegezi tunajuana tu sema hatujui ni Member JF
 
Wakuu karibuni BUTIMBA-Magereza!!

KIMEO CHANGU
 
Nipo bwiru~TBL hapa! napunga upepo wa ziwa victoria
 
mkuu Sumve 2015 vipi unataka nikuelekeze hadi namba ya nyumba?

hapo ntakua sina haja ya kutumia ID feki!
 
mkuu Sumve 2015 utakua hupajui nyuma ya chuo
cha mipango wewe
nyuma ya chuo kuna mtaa wa TBL swadaaakta ambao umeiunganisha bwiru na pasiansi,
pia kuna kiwanda cha rangi pia ndio barabara kuu iendayo kiwanda cha TBL

Karibu bwiru mtaa wa wasafi
 
Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nipo nyegezi hapa maeneo ya tema.........
 
Watu wa mwanza leo nimeshuhudia ajali mbaya sana maeneo ya round about iliyopo jirani na jengo la CCM aisee mpaka mda huu siko sawa kabisa kichwani, ilikuwa mida fulani asubuhi kati ya saa 07:30-07:52 ni hatari kwa kweli!!
 
Pole sana
 
Back
Top Bottom