Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa. Hongereni mliopata utumishi mwema

Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa. Hongereni mliopata utumishi mwema

Mr_positive

Member
Joined
Mar 22, 2018
Posts
10
Reaction score
14
Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema.

Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo sijabahatika kuitwa ila jamaa zangu wengi kutoka familia zetu za hali ya chini wamepata kwa jitihada binafsi Ashukuriwe sana mhe Rais na hongereni kwa washindi ☺☺ na tusichoke kuomba tena maana tumeongezewa zingine 🤗🤗
 
Kila la kheri mkuu kwenye hizi mpya!!

Mungu atatusimamia.
 
Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema.

Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo sijabahatika kuitwa ila jamaa zangu wengi kutoka familia zetu za hali ya chini wamepata kwa jitihada binafsi Ashukuriwe sana mhe Rais na hongereni kwa washindi [emoji5][emoji5] na tusichoke kuomba tena maana tumeongezewa zingine [emoji847][emoji847]
Naona jukumu lako la kuisafisha taasisi umeifanya vizuri,

Nakutakia utumishi mwema...
 
Wenye vyeti zaidi ya bachelor vilivyo uploaded kwenye ajira portal wanaoomba kazi za diploma ama wenye phd wanaoomba kazi za master wanakuwa affected?
 
Wenye vyeti zaidi ya bachelor vilivyo uploaded kwenye ajira portal wanaoomba kazi za diploma ama wenye phd wanaoomba kazi za master wanakuwa affected?
haiwezi kubali mkuu over qualification ukiomba tu inakwambia failed labda kama unacho cha degree na umekichimbia home hujaweka
 
haiwezi kubali mkuu over qualification ukiomba tu inakwambia failed labda kama unacho cha degree na umekichimbia home hujaweka
Mkuu nisaidieni na Mimi nina-upload certified certificates zinanigomea imeniambia format inayotumika ni Pdf, Png na Jpg. Mbona nimescan na vipo kwenye Pdf lakini vinagoma?
 
Back
Top Bottom