Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa. Hongereni mliopata utumishi mwema

Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa. Hongereni mliopata utumishi mwema

Mkuu niambie hapa if possible, huenda wengi wakaona na kusaidia kama ni msaada[emoji122]
Mkuu lilikua ni swala linalohusu na mambo ya CPA.

Maana nimeshindwa kukuuliza hapa nimehisi kama tutaharibu uzi wa mdau.

Au kama vipi ngoja nikakuulize kwenye Ile thread yako 'uliyoianzishaga' kule kwenye jukwaa la Elimu.
 
Mama katoa zingine Tena Huko huko TRA ila nafasi ni chache afu , inakuwaje wanasema usiombe nafasi zaid ya moja ,axa kama mtu unafit Xeem 2 au tatu kweli usiaply unajiminya sehem moja ....
 
Mama katoa zingine Tena Huko huko TRA ila nafasi ni chache afu , inakuwaje wanasema usiombe nafasi zaid ya moja ,axa kama mtu unafit Xeem 2 au tatu kweli usiaply unajiminya sehem moja ....
Cheza ana ana do hapo
 
Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema.

Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo sijabahatika kuitwa ila jamaa zangu wengi kutoka familia zetu za hali ya chini wamepata kwa jitihada binafsi Ashukuriwe sana mhe Rais na hongereni kwa washindi ☺☺ na tusichoke kuomba tena maana tumeongezewa zingine 🤗🤗
Hv izompya wanaita Lin ?
 
Back
Top Bottom