Mr_positive
Member
- Mar 22, 2018
- 10
- 14
Hehe wapo kakaHivi kuna waliokosa kumbe?
AmeenMay God be with you
AmeeenKila la kheri mkuu kwenye hizi mpya!!
Mungu atatusimamia.
Naona jukumu lako la kuisafisha taasisi umeifanya vizuri,Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema.
Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo sijabahatika kuitwa ila jamaa zangu wengi kutoka familia zetu za hali ya chini wamepata kwa jitihada binafsi Ashukuriwe sana mhe Rais na hongereni kwa washindi [emoji5][emoji5] na tusichoke kuomba tena maana tumeongezewa zingine [emoji847][emoji847]
Hahah na mimi sjapata asee ni miongoni mwa best looser cjui shda ninini ila ndo ivoNaona jukumu lako la kuisafisha taasisi umeifanya vizuri,
Nakutakia utumishi mwema...
Wala usijali wakati wako utafika mkuu, muhimu kuzidisha juhudi tuHahah na mimi sjapata asee ni miongoni mwa best looser cjui shda ninini ila ndo ivo
Omba hizi zingine mpyaHongereni sana mliofanikiwa kupata, kazi njema kwa taifa lenu, acha tuendelee kupambana na sasa hadi tutakapofanikiwa
Ni kweli mkuu naapply soonOmba hizi zingine mpya
Bestie.. Naomba niku PMNi kweli mkuu naapply soon
haiwezi kubali mkuu over qualification ukiomba tu inakwambia failed labda kama unacho cha degree na umekichimbia home hujawekaWenye vyeti zaidi ya bachelor vilivyo uploaded kwenye ajira portal wanaoomba kazi za diploma ama wenye phd wanaoomba kazi za master wanakuwa affected?
Mkuu nisaidieni na Mimi nina-upload certified certificates zinanigomea imeniambia format inayotumika ni Pdf, Png na Jpg. Mbona nimescan na vipo kwenye Pdf lakini vinagoma?haiwezi kubali mkuu over qualification ukiomba tu inakwambia failed labda kama unacho cha degree na umekichimbia home hujaweka