Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Scalping inakula mshahara wangu
Kila siku naliwa ila bado nimo
Mpaka damu I nitoke, lakini lazima nimtoe damu broker [emoji17][emoji17]
🤣🤣🤣🤣Pole hyo ndo forex mabenki hawtaaki muijue according ontairoScalping inakula mshahara wangu
Kila siku naliwa ila bado nimo
Mpaka damu I nitoke, lakini lazima nimtoe damu broker 😔😔
Banks wanataka watu waijue sana tu halafu Wapigie pesa maana banks ndio wanacreate zile moves🤣🤣🤣🤣Pole hyo ndo forex mabenki hawtaaki muijue according ontairo
Hakuna kitu hatari kama kuingia kwenye kilimo kichwa kichwa. Jaribu kuanza kwa kulima eneo dogo sana iwe kama pilot study.Umenikumbusha jamaa yangu mmoja baada ya kutoka ulaya na dollar zake kadhaa, akasema anataka akalime ni akang’ang’ania kulima vitunguu.
Kwa ufupi ile hasara aliyoipata hataki hata kusikia neno KILIMO,
- Moja, shambani hakuvuna kama alivyotarajia
- Pili, vile vitunguu alivyovuna alitegea eti soko lipande kumbe vitunguu vinakawaida ya kuoza
Milioni zake kadhaa ziliteketea kule na alijutavni bora angefuga ng’ombe wa maziwa kama mimi tu.
Bila shaka hii ni chai ya kuchangamsha jamvi. Hakuna ukweli wowote![emoji1787][emoji1787][emoji1787]HV mkuu ulikuwa seriuos au chai hii
Nini kinakufanya useme ni chai?Bila shaka hii ni chai ya kuchangamsha jamvi. Hakuna ukweli wowote!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umenikumbusha kipindi Corona inaingia wakawa wanasema watu wengi watakufa
Mwanaume nikaingia bank kukopa kama 7m hivi ili nipanue mradi wangu wa majeneza nikiamini ndo mwaka wangu wa kutoboa lakini cha ajabu mambo yakaenda tofauti mpaka ikafikia nakosa hata hela ya marejesho!
Kuna jamaangu ana gereji yake Dar akanishauri nichukue mzigo wa majeneza kiasi nikaweke branch Dar maana hapa Dom biashara iligoma kabisa ikabidi huyo rafiki yangu anitafutie eneo zuri Dar nikapeleka mzigo wa majeneza kama pc 250 hivi lakini huko ndo hali iligoma sana kiasi kwamba lile eneo nilipokuwa misiba mingi ni waislamu hawatumii majeneza yaani ilikuwa mpaka namaliza week nimeuza jeneza moja wakati mwingine namaliza week bila kuuza ikabidi nifunge maana hata hela ya kulipia eneo nilishindwa kulipa ikabidi nirudi Dom kuendelea na kijiwe changu cha huko.
Yaani kifupi nililazimika kuuza kagari kangu( kama ka Mr Bean) ili nipunguze deni la mkopo sintosahau mpaka nazeeka
Umenikumbusha kipindi Corona inaingia wakawa wanasema watu wengi watakufa

ulipigwa teke asee... unaombeaje wateja waje na hio biasharaUmenikumbusha kipindi Corona inaingia wakawa wanasema watu wengi watakufa
Mwanaume nikaingia bank kukopa kama 7m hivi ili nipanue mradi wangu wa majeneza nikiamini ndo mwaka wangu wa kutoboa lakini cha ajabu mambo yakaenda tofauti mpaka ikafikia nakosa hata hela ya marejesho!
Kuna jamaangu ana gereji yake Dar akanishauri nichukue mzigo wa majeneza kiasi nikaweke branch Dar maana hapa Dom biashara iligoma kabisa ikabidi huyo rafiki yangu anitafutie eneo zuri Dar nikapeleka mzigo wa majeneza kama pc 250 hivi lakini huko ndo hali iligoma sana kiasi kwamba lile eneo nilipokuwa misiba mingi ni waislamu hawatumii majeneza yaani ilikuwa mpaka namaliza week nimeuza jeneza moja wakati mwingine namaliza week bila kuuza ikabidi nifunge maana hata hela ya kulipia eneo nilishindwa kulipa ikabidi nirudi Dom kuendelea na kijiwe changu cha huko.
Yaani kifupi nililazimika kuuza kagari kangu( kama ka Mr Bean) ili nipunguze deni la mkopo sintosahau mpaka nazeeka
Ha ha ha we jamaa mjinga sana ha ha haUmenikumbusha kipindi Corona inaingia wakawa wanasema watu wengi watakufa
Mwanaume nikaingia bank kukopa kama 7m hivi ili nipanue mradi wangu wa majeneza nikiamini ndo mwaka wangu wa kutoboa lakini cha ajabu mambo yakaenda tofauti mpaka ikafikia nakosa hata hela ya marejesho!
Kuna jamaangu ana gereji yake Dar akanishauri nichukue mzigo wa majeneza kiasi nikaweke branch Dar maana hapa Dom biashara iligoma kabisa ikabidi huyo rafiki yangu anitafutie eneo zuri Dar nikapeleka mzigo wa majeneza kama pc 250 hivi lakini huko ndo hali iligoma sana kiasi kwamba lile eneo nilipokuwa misiba mingi ni waislamu hawatumii majeneza yaani ilikuwa mpaka namaliza week nimeuza jeneza moja wakati mwingine namaliza week bila kuuza ikabidi nifunge maana hata hela ya kulipia eneo nilishindwa kulipa ikabidi nirudi Dom kuendelea na kijiwe changu cha huko.
Yaani kifupi nililazimika kuuza kagari kangu( kama ka Mr Bean) ili nipunguze deni la mkopo sintosahau mpaka nazeeka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umenikumbusha kipindi Corona inaingia wakawa wanasema watu wengi watakufa
Mwanaume nikaingia bank kukopa kama 7m hivi ili nipanue mradi wangu wa majeneza nikiamini ndo mwaka wangu wa kutoboa lakini cha ajabu mambo yakaenda tofauti mpaka ikafikia nakosa hata hela ya marejesho!
Kuna jamaangu ana gereji yake Dar akanishauri nichukue mzigo wa majeneza kiasi nikaweke branch Dar maana hapa Dom biashara iligoma kabisa ikabidi huyo rafiki yangu anitafutie eneo zuri Dar nikapeleka mzigo wa majeneza kama pc 250 hivi lakini huko ndo hali iligoma sana kiasi kwamba lile eneo nilipokuwa misiba mingi ni waislamu hawatumii majeneza yaani ilikuwa mpaka namaliza week nimeuza jeneza moja wakati mwingine namaliza week bila kuuza ikabidi nifunge maana hata hela ya kulipia eneo nilishindwa kulipa ikabidi nirudi Dom kuendelea na kijiwe changu cha huko.
Yaani kifupi nililazimika kuuza kagari kangu( kama ka Mr Bean) ili nipunguze deni la mkopo sintosahau mpaka nazeeka
Poleni sanaMimi na rafiki angu tulipata location moja tukitaka kuanzisha duka la dawa ila frame watu wengi wakawa wanahitaji,tulichoamua n kuilipia ili iwe mikonon mwetu...mara baada ya kuilipia tukaanza kufata process za kufungua duka la dawa kwenda kwa mfamasia wa wilaya akasema kwa hilo eneo sahz hayahitajiki tena maduka ya dawa dah,,vijana tukaanza kuomba tusaidiane nae ili jambo letu lifanikiwe ila bado akagoma kabisa ikabd tumwambie tu mwenye nyumba kuwa tunarudisha frame akipata mtu mwngne ataturudshia pesa yetu imekaa karibia week tatu hajapatikana mtu bado had leo dah..ila tumejifunza location nyngne ttanza kuwasiliana kwanza na mamlaka husika
katika wazo la watu kupukutika uliwaza kuwa na wew unaweza pukutikaUmenikumbusha kipindi Corona inaingia wakawa wanasema watu wengi watakufa
Mwanaume nikaingia bank kukopa kama 7m hivi ili nipanue mradi wangu wa majeneza nikiamini ndo mwaka wangu wa kutoboa lakini cha ajabu mambo yakaenda tofauti mpaka ikafikia nakosa hata hela ya marejesho!
Kuna jamaangu ana gereji yake Dar akanishauri nichukue mzigo wa majeneza kiasi nikaweke branch Dar maana hapa Dom biashara iligoma kabisa ikabidi huyo rafiki yangu anitafutie eneo zuri Dar nikapeleka mzigo wa majeneza kama pc 250 hivi lakini huko ndo hali iligoma sana kiasi kwamba lile eneo nilipokuwa misiba mingi ni waislamu hawatumii majeneza yaani ilikuwa mpaka namaliza week nimeuza jeneza moja wakati mwingine namaliza week bila kuuza ikabidi nifunge maana hata hela ya kulipia eneo nilishindwa kulipa ikabidi nirudi Dom kuendelea na kijiwe changu cha huko.
Yaani kifupi nililazimika kuuza kagari kangu( kama ka Mr Bean) ili nipunguze deni la mkopo sintosahau mpaka nazeeka
huyu mkuu angepewa sanitaiza agawe kwa watu angemwaga mtonYaani wewe hata sikuhurumii aisee. Afadhali tu yaani hali ilikuwa kama ilivyokuwa kha!
Halafu unavyosimulia masikini. Kama nakuona usiku umelala unawaza mbona watu hawafi? Hii Korona vipi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hii ndyo funga kaz mdau anaomba watu wafe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]HV mkuu ulikuwa seriuos au chai hii