Tuliokurupukia kuanzisha biashara baadaye tukajua hatujui tukutane hapa

Hakuna kitu hatari kama kuingia kwenye kilimo kichwa kichwa. Jaribu kuanza kwa kulima eneo dogo sana iwe kama pilot study.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
ulipigwa teke asee... unaombeaje wateja waje na hio biashara
 
Kuteleza sio kuanguka,, jikung'ute mavumbi , piga moyo konde urudi mzigoni ila uwe na soko permanent
 
Ha ha ha we jamaa mjinga sana ha ha ha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi na rafiki angu tulipata location moja tukitaka kuanzisha duka la dawa ila frame watu wengi wakawa wanahitaji,tulichoamua n kuilipia ili iwe mikonon mwetu...mara baada ya kuilipia tukaanza kufata process za kufungua duka la dawa kwenda kwa mfamasia wa wilaya akasema kwa hilo eneo sahz hayahitajiki tena maduka ya dawa dah,,vijana tukaanza kuomba tusaidiane nae ili jambo letu lifanikiwe ila bado akagoma kabisa ikabd tumwambie tu mwenye nyumba kuwa tunarudisha frame akipata mtu mwngne ataturudshia pesa yetu imekaa karibia week tatu hajapatikana mtu bado had leo dah..ila tumejifunza location nyngne ttanza kuwasiliana kwanza na mamlaka husika
 
Poleni sana
 
Nlianja biashara ya duka ,miaka 3 duka haliwezi kulipa garama za frem .
 
katika wazo la watu kupukutika uliwaza kuwa na wew unaweza pukutika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…