Tuliokuwa ICU kuhusu siasa za Chadema kwa hiki kipindi cha miaka kadhaa hatimaye tumeponywa, Mbowe tutamheshimu kama tulivyoahidi

Tuliokuwa ICU kuhusu siasa za Chadema kwa hiki kipindi cha miaka kadhaa hatimaye tumeponywa, Mbowe tutamheshimu kama tulivyoahidi

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Mungu amefanya kazi, nimezaliwa upya baada ya kuponywa kutoka ICU.

Nilijeruhiwa na siasa mufilisi za chama changu CHADEMA ambazo ziliniliza kwa miaka kadhaa.

Ama kweli sasa nipo tayari kuwajibika kwenye kipindi kipya na kukitumikia chama kwa kila hali.

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Tulipigana, tumeshinda. Mbowe tutamheshimu. Asante Mungu!

Ole kwa machawa waliotukana! Hatuwataki wala hatuna shida na uwepo wao!
 
Sasa mtulie mjengee chamaa NAMI Mzee wa ubwabwa ntashawishika kujiunga ..
FB_IMG_1733322947733.jpg
 
Back
Top Bottom