G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 11,795 Reaction score 36,704 Jan 22, 2025 #1 Mungu amefanya kazi, nimezaliwa upya baada ya kuponywa kutoka ICU. Nilijeruhiwa na siasa mufilisi za chama changu CHADEMA ambazo ziliniliza kwa miaka kadhaa. Ama kweli sasa nipo tayari kuwajibika kwenye kipindi kipya na kukitumikia chama kwa kila hali. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5% Tulipigana, tumeshinda. Mbowe tutamheshimu. Asante Mungu! Ole kwa machawa waliotukana! Hatuwataki wala hatuna shida na uwepo wao!
Mungu amefanya kazi, nimezaliwa upya baada ya kuponywa kutoka ICU. Nilijeruhiwa na siasa mufilisi za chama changu CHADEMA ambazo ziliniliza kwa miaka kadhaa. Ama kweli sasa nipo tayari kuwajibika kwenye kipindi kipya na kukitumikia chama kwa kila hali. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5% Tulipigana, tumeshinda. Mbowe tutamheshimu. Asante Mungu! Ole kwa machawa waliotukana! Hatuwataki wala hatuna shida na uwepo wao!
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Jan 22, 2025 #2 Sasa mtulie mjengee chamaa NAMI Mzee wa ubwabwa ntashawishika kujiunga ..
M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,346 Reaction score 15,249 Jan 22, 2025 #3 Ntobi ntobi na Jericho bye bye
M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,346 Reaction score 15,249 Jan 22, 2025 #4 Sasa cdm wakiniomba mil 10. Nitawapa
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Jan 22, 2025 #5 Uko sahihi.