Tuliokuwa tunamkubali Trump tangu akiwa Rais 2016 - 2020

Anafanyiwa mizengwe na nani?
Ulitaka ichapishwe fomu moja tu ya Urais apewe kama huki ?
Hili jukwaa sijui limekuwaje,mbona wapuuzi wapo wengi ambao hawa fuatilii hata vyombo vya habari vya kimataifa, hivi unazifuatilia kesi anazo funguliwa jamaa?

Mida hii ya jioni DW Kiswahili wamechambua ushindi wake ktk jimbo la IOWA na wakamwalika mchambuzi wa maswala ya kimataifa na akaelezea vigingi anavyo vipitia Trump.

Unaleta siasa zako za kipuuzi za kwenu huku,sasa form moja hapa imefuata nini?
 
Sasa mzungu tajiri kufunguliwa kesi Marekani ni mizengwe??
Kwani hii ni mara ya kwanza Trump kufungiliwa kesi ? Hujawahi kusikia kesi za utapeli za Trump University hata kabla hajawa Rais ambapo alilipa mamilioni ya fidia??
 
Sasa unazungumzia za zamani, mimi na zungumzia za sasa au hiyo kesi yake ya zamani inaendelea mpaka sasa baada ya kulipa hayo mamilioni?
 
Ulitaka afunguliwe kesi za kuiba maboksi ya nyaraka za siri za usalama wa Taifa na kwenda nazo nyumbani kwake na kuingilia maafisa wa uchaguzi wa majimbo kuvuruga uchaguzi lini?? Kabla hajawa Rais??
 
Waliprove hilo? Sasa mbona mpaka sasa anagombea nafasi nyeti kama hiyo ya kuwakilisha chama chake kwenye kiti cha Urais?

Yaani ithibitike umeiba nyaraka nyeti then uruhusiwe kushiriki kwenye kinyang'anyiro cha Urais,hiyo sio US ninayo ijua mimi.
 
Sidhani kama uko sawa upstairs.
Mimi siiongelei America unayoijua wewe, naiongolea America halisi ambayo mtu amekutwa na maboksi ya siri za Usalama wa Taifa nyumbani kwake na akakiri ni kweli alichukua na anang'ang'ania ana haki hiyo!
 
Wewe ndiye haupo sawa,yaani uibe nyaraka za siri halafu CIA wanakutizama.
Huko Marekani kuna mamilioni ya watu kama wewe wanaompenda na kumkubali Trump mara million zaidi ya wewe unavyomkubali na wako tayari hata kuichoma moto nchi yao Trump akiguswa kwa namna yoyote ile, mara ya mwisho walimfuata bungeni kutaka kumtundika kitanzani makamu wao wa Rais wa Trump, Pence aliposema hawezi kuacha kuthibitisha ushindi wa Biden bungeni kwa matakwa ya Trump.
 
Hata uwe na watu milion ngapi wanao kukubali, ila kitendo cha kuiba nyaraka za siri za Serikali hakivumiliki na taifa lolote lile duniani. Kuna vitu viwili vinalindwa na taifa lolote dunia ni Maslahi na Usalama wa taifa,ukihatarisha hivyo vitu viwili wako tayari hata kutoa uhai ili mradi taifa libaki salama na maslahi yale yasi haribike.

Sasa ww ulivyo sena kaiba nyaraka za taifa,ila still bado yupo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais nimekushangaa.Hapo ndipo ujue hata hizi tuhuma wanazo mtuhumu ni za uongo.
 
Maswali yako yanotakana na uelewa finyu pamoja na ukosefu wa kujua takwimu.
Mwaka 2016 waliopiga kura walikuwa milioni 136 kati ya watu milioni 230 waliokuwa na vigezo, watu karibu million 100 hawakwenda kupiga kura kwa sababu walikuwa hawawapendi wote Trump na Hillary pamoja na voter suppression. Mwaka 2020 waliopiga kura walikuwa milioni 159 kati ya milioni 239 waliokuwa na vigezo. Hakuna abracadabra hapo au conspiracy unazofikiria umeweza kung'amua.

Pili, Mwanasheria mkuu wa Marekani aliyeteuliwa na Trump alisema Trump alishindwa uchaguzi, Bunge la seneti lililokiwa likiongozwa na Republicans pamoja na Makamu wa Rais wa Trump ambao ndio walikuwa wanaidhinisha matokeo walisema Trum ameshindwa na mahakama zote hadi mahakama kuu iliyojaa majaji wa Republicans walioteuliwa na Trump walisema Trump ameshindwa. Wanaosema Trump alishinda ni Trump mwenyewe na wafuasi wake waliokunywa maji ya bendera ambao wako tayari kulamba hata kinyesi chake.
Mkuu Yoda , kama nilivyosema kwenye comment yangu ya mwanzo, nataka niutumie uchaguzi wa mwaka huu kujifunza kitu, tuombe uzima.
 
Maswali yako yanotakana na uelewa finyu pamoja na ukosefu wa kujua takwimu.
Mwaka 2016 waliopiga kura walikuwa milioni 136 kati ya watu milioni 230 waliokuwa na vigezo, watu karibu million 100 hawakwenda kupiga kura kwa sababu walikuwa hawawapendi wote Trump na Hillary pamoja na voter suppression. Mwaka 2020 waliopiga kura walikuwa milioni 159 kati ya milioni 239 waliokuwa na vigezo. Hakuna abracadabra hapo au conspiracy unazofikiria umeweza kung'amua.

Pili, Mwanasheria mkuu wa Marekani aliyeteuliwa na Trump alisema Trump alishindwa uchaguzi, Bunge la seneti lililokiwa likiongozwa na Republicans pamoja na Makamu wa Rais wa Trump ambao ndio walikuwa wanaidhinisha matokeo walisema Trum ameshindwa na mahakama zote hadi mahakama kuu iliyojaa majaji wa Republicans walioteuliwa na Trump walisema Trump ameshindwa. Wanaosema Trump alishinda ni Trump mwenyewe na wafuasi wake waliokunywa maji ya bendera ambao wako tayari kulamba hata kinyesi chake.
Mkuu;
-Mwaka 2008 Obama alipata kura 69.4m na ndo alishinda

-Obama 2008 alipata kura 69.4m
  • 2012 alipata kura 65.8m
  • Hillary Clinton 2016 alikua mshindi wa popular vote nae alipata kura 65.8m
-Biden 2020 from nowhere akapata kura 81.2m
-2024 Trump anaongoza popular votes na ana kura 74.3m karibu na 74.2m alizopata 2020.

Biden aliweza vipi kufika 81.2m kama hakupigiwa kura mpaka na marehemu ukizingatia kipindi cha covid mpaka utaratibu tu wa kupiga kura ulibadilika?

Tukubali tuu Trump hata 2020 alishinda wakamuibia.
 
Trump hakua mwanasiasa, kwake nyeusi ni nyeusi, nyeupe ni nyeupe. Haipo ni haipo, ipo ni ipo, hakuna mambo ya ngoja tutaona cha kufanya. Ungekua basi unafuatilia alivyowanyoosha Wachina kwenye utawala wake.

Binafsi namkubali sana kama navyomkubali JPM kwasababu ya tabia hizo.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Aliichinja kampuni ya Huawei mpaka sasa, imesahaurika ktk bihashara nyingi uku Africa
 
Mkuu;
-Mwaka 2008 Obama alipata kura 69.4m na ndo alishinda

Mkuu;
-Obama 2008 alipata kura 69.4m
  • 2012 alipata kura 65.8m
  • Hillary Clinton 2016 alikua mshindi wa popular vote nae alipata kura 65.8m
-Biden 2020 from nowhere akapata kura 81.2m
-2024 Trump anaongoza popular votes na ana kura 74.3m karibu na 74.2m alizopata 2020.

Biden aliweza vipi kufika 81.2m kama hakupigiwa kura mpaka na marehemu ukizingatia kipindi cha covid mpaka utaratibu tu wa kupiga kura ulibadilika?

Tukubali tuu Trump hata 2020 alishinda wakamuibia.
Labda tuanzie hapa,
Ilikuaje Trump akapata kura milioni 63 mwaka 2016 halafu akapata kura milioni 74 mwaka 2020, kura milioni 11 zaidi?? Huoni kwamba alipigiwa kura mpaka na marehemu na aliweza kufanikisha hili kwa sababu alikuwa Rais?
 
Bila hata hiyo unayoita Russian hoax na hayo madai ya kuwa exonerated ni mara nyingi tu Trump amekuwa akiwasifia watawala madikteta Trump, Xi na Kiduku na kusema wana akili sana au angetamani apate loyalty ya raia wake kama wao au pia angetamani awe dikteta hata kwa siku moja tu.

Putin alitulia kipindi cha Trump kwa sababu Whitehouse katika utawala wa Trump ilikuwa kama dark comedy show, Trump alionyesha kumuamini Putin zaidi kuliko hata CIA na FBI na kubwa zaidi alikuwa akiidhoofisha NATO kiasi kwamba hata ingevunjika kama angeshinda kwa mara ya pili mfululizo.
Ndio uzuri wa ukweli, saizi anamuamini Elon kuzidi NASA, na kiukweli yupo sahihi...ni mtu wa matokeo sio mapokeo...
 
Bila hata hiyo unayoita Russian hoax na hayo madai ya kuwa exonerated ni mara nyingi tu Trump amekuwa akiwasifia watawala madikteta Trump, Xi na Kiduku na kusema wana akili sana au angetamani apate loyalty ya raia wake kama wao au pia angetamani awe dikteta hata kwa siku moja tu.

Putin alitulia kipindi cha Trump kwa sababu Whitehouse katika utawala wa Trump ilikuwa kama dark comedy show, Trump alionyesha kumuamini Putin zaidi kuliko hata CIA na FBI na kubwa zaidi alikuwa akiidhoofisha NATO kiasi kwamba hata ingevunjika kama angeshinda kwa mara ya pili mfululizo.

Wananchi wa US wanamwelewa zaidi Trump, wamemrudisha tena madarakani licha ya vikwazo na mizengwe aliyopambana nayo.
 
Labda tuanzie hapa,
Ilikuaje Trump akapata kura milioni 63 mwaka 2016 halafu akapata kura milioni 74 mwaka 2020, kura milioni 11 zaidi?? Huoni kwamba alipigiwa kura mpaka na marehemu na aliweza kufanikisha hili kwa sababu alikuwa Rais?

Na safari hii amefanikisha kura akiwa kama nani?
 
Gaddafi aliuwawa na Walibya wenzake

Inamaana hizi taarifa hua zinatolewa Kwa ubaguzi? Kuna vyombo vinahabarisha pande tofauti tofauti Kwa wakati mmoja kuhusu jambo moja?
 
Labda tuanzie hapa,
Ilikuaje Trump akapata kura milioni 63 mwaka 2016 halafu akapata kura milioni 74 mwaka 2020, kura milioni 11 zaidi?? Huoni kwamba alipigiwa kura mpaka na marehemu na aliweza kufanikisha hili kwa sababu alikuwa Rais?
Yaani tuache kumshangaa alieongeza kura 15.7m, tumshangae alieongeza kura 11m?

Na Trump amekua consistent hata mwaka huu amepata hizo hizo 74m, why dems zimeshuka from 81.2m mpaka 70m?

Jamaa aliibiwa kura ila ukiamua kubisha for the sake ya kubisha tuu basi tuishie hapa.
 
Back
Top Bottom