Tuliokuwa tunashabikia Uvamizi wa Urusi, Ukraine. Tuendelee kuchochea Kuni? Yajayo yanasikitisha

... the point is; badala ya kuona hadaa za watawala kutumia hiyo vita kama kisingizio cha kuchomekea mikodi kuumiza wananchi; badala ya kuwabana watawala kupunguza ukali wa maisha ulioletwa na hii vita; tumebaki na ushabiki wa kijinga huku watawala wakitumia mwanya huo kuumiza wananchi.
Wewe bhana acha kufurahisha wenye akili zao,yaani raia wa USA wanaenda kununua mafuta nchi jirani na vidumu wewe unawachukulia poa?.Sasa kama huko G7 hali ni hiyo,wewe huku shithole Trump voice unaweza salimika kwa lipi?.
 
Nyie si mmekataa kukemea uvamizi wa Ukraine alioufanya Putin kwa sababu Nyerere aliwafundisha kutofungamana na upande wowote? Basi msilalamike hizo athari za huo uvamizi zikiwagusa.
 
Watanzania wengi kwa ukosefu wa Elimu bora na Ufahamu jumuifu walijikuta wanashabikia sana Vita ya Urusi na Ukraine. Wengi sana wakichukua pande kama wanavyoshabikia Simba na Yanga.

Na wengi walikuwa hawaelewi kwa nini NATO au USA haiingizi miguu yake. Kwa akili ile ile ya kishabiki wakimsifu either putin au rais wa ukraine.

Na wakaenda mbali kusema NATO wanaiogopa Urussi au pengine Urussi inaiogopa NATO. maneno mengi na ubishani vijiweni na kwenye mitandao usio na tija.

Leo mnaona ... Watawala wanatumia Vita hivi kuwaumiza wananchi zaidi. Kodi zinachomekewa humo ndani kwa ndani ukiuliza utaambiwa ni Vita ya Urusi Ukraine.

Athari za Vita hivyo zipo...lakini kuna wahuni ambao wameamua kwa makusudi to swim with the current. Tutegemee ufisaidi mkubwa sana kipindi hiki hasa kwa nchi zetu za kiafrika nyingi. Zila chache kuna marais wanapambana kupunguza makali ya maumivu kwa wananchi wao.

Na kwa zile ambazo zina bahati mbaya Marais wanatumia nafasi hiyo kuwa nyonya damu wananchi wao. Sasa kila kitu kimepanda. Hadi pipi zimepanda bei. Vita vya Urusi Ukraine.

Je tuendelee kushabikia kama tunavyozishabikia Manchester na Liverpool au sasa tuanze kuangalia tuna viongozi wa namna gani?
Halafu, vitu kupanda bei vilianza kabla ya hiyo vita. Au umetumwa kumsafisha?
 
Hakika
Nyie si mmekataa kukemea uvamizi wa Ukraine alioufanya Putin kwa sababu Nyerere aliwafundisha kutofungamana na upande wowote? Basi msilalamike hizo athari za huo uvamizi zikiwagusa.
 
... the point is; badala ya kuona hadaa za watawala kutumia hiyo vita kama kisingizio cha kuchomekea mikodi kuumiza wananchi; badala ya kuwabana watawala kupunguza ukali wa maisha ulioletwa na hii vita; tumebaki na ushabiki wa kijinga huku watawala wakitumia mwanya huo kuumiza wananchi.
Watu wanajiimarisha kiuchumi kabla ya uchaguzi.
Hapa mafisadi yamepewa nafasi kujiimarisha ili baadae wamwinue mtu wao kifedha za kampeni.
 
... the point is; badala ya kuona hadaa za watawala kutumia hiyo vita kama kisingizio cha kuchomekea mikodi kuumiza wananchi; badala ya kuwabana watawala kupunguza ukali wa maisha ulioletwa na hii vita; tumebaki na ushabiki wa kijinga huku watawala wakitumia mwanya huo kuumiza wananchi.
Jamiiforums imebakiza watu wachache sana wenye akili kama wewe. Wachache sana aisee.... Hongera sana kwa kuweza elewa na kuwaelimisha wengine wasio na afya ya akili.
 
Uzi wa vita vya Ukraine umefika page elfu moja lakini ukija hapa nyumbani jamaa hawana hata umeme wa uhakika.
 
Hapa bongo kama huna ndugu kwenye system, huna ndugu mfanya biashara mwenye connections bas utaishia hoe hae mpaka ukome. Utabaki humu JF, ukimaliza unaingia Twitter, ukitoka unaingia Insta na Facebook. Kote huko utakua mtu wa lawama, hasira na matusi.

Hata kama umesoma soma kidogo, bado namba utaisoma. Utapigika na maisha, utachakaa hata kumiliki vitz used itakua ni ndoto.
 
Hii teknolojia sio lazima ulazimishwe ila kwenye level ya household itengeneze
Utakuja kunishukuru mi naitumia home yaan gharama ya mkaa, gas na umeme wakupikia ni zero
Mkuu Sio kwamba unaihujumu Tanesco!!?KILA mtu angekuwa nayo!!sheria ni kali Sana aiseh!!
 
Watanzania wengi kwa ukosefu wa Elimu bora na Ufahamu jumuifu walijikuta wanashabikia sana Vita ya Urusi na Ukraine. Wengi sana wakichukua pande kama wanavyoshabikia Simba na Yanga.

Na wengi walikuwa hawaelewi kwa nini NATO au USA haiingizi miguu yake. Kwa akili ile ile ya kishabiki wakimsifu either putin au rais wa ukraine.

Na wakaenda mbali kusema NATO wanaiogopa Urusi au pengine Urussi inaiogopa NATO. maneno mengi na ubishani vijiweni na kwenye mitandao usio na tija.

Leo mnaona Watawala wanatumia Vita hivi kuwaumiza wananchi zaidi. Kodi zinachomekewa humo ndani kwa ndani ukiuliza utaambiwa ni Vita ya Urusi Ukraine.

Athari za Vita hivyo zipo, lakini kuna wahuni ambao wameamua kwa makusudi to swim with the current. Tutegemee ufisaidi mkubwa sana kipindi hiki hasa kwa nchi zetu za kiafrika nyingi. Zila chache kuna marais wanapambana kupunguza makali ya maumivu kwa wananchi wao.

Na kwa zile ambazo zina bahati mbaya Marais wanatumia nafasi hiyo kuwa nyonya damu wananchi wao. Sasa kila kitu kimepanda. Hadi pipi zimepanda bei. Vita vya Urusi Ukraine.

Je, tuendelee kushabikia kama tunavyozishabikia Manchester na Liverpool au sasa tuanze kuangalia tuna viongozi wa namna gani?
hata tusingeshabikia
 
Hakijulikani ulichokiongea, kunywa maji kidogo, tulia alafu uanze upya kuongea
 
Mkuu Sio kwamba unaihujumu Tanesco!!?KILA mtu angekuwa nayo!!sheria ni kali Sana aiseh!!
Yaani nifanye kwa matumizi ya kwangu niwe naihujumu shirika uchwara,?sidhan kama ni kwel hilo. Na kama ni kwlei tuna nchi ya kipumbavu kuliko upumbavu wenyewe
 
Mleta mada kachanganyikiwa bila shaka.
Analaumu watanzania kana kwamba ndio walio sababisha hiyo issue
Wacha watu washabikie, hawa kuianzisha wao wala hawana uwezo wa kuikomesha.
Halafu ule siyo uvamizini OPERESHENI YA KIJESHI.
Mimi nimemuelewa, anataka kuwalaumu wa Tanzania kwa kukubaliana na mawazo ya kijinga ya watawala wetu ya kuwasingizia Urusi na ukraine kwa kupanda kwa gharama za maisha... ni kwa nini wasifanye chochote kile kuwaondoa viongozi wetu madarakani maana kila mgogoro ukitokea huko duniani umekuwa chanzo cha watawala wetu kupatiapo upenyo wa kupandisha kodi... mfano... vita ya Iraq na Kuwait, Libya na sasa Ukraine. Ya nini kujitapa ushindi wa kishindo bila kutatua matatizo yetu? ya nini kung'ang'ania madarakani ili hali dish la mawazo limeganda huko serikalini ? ya ni ni wasikubali mawazo mbadala ? ya nini kusingizia hata vitu vya wazi vya kukosa ubunifu wa kukabiliana na athari kama hizi za vita?

Gesi tunayo ya kutosha, ni wakati sasa serikali ianzishe gas to Liquid plant kama nchi nyingine dunian zinazofanya huko duniani na kuigeuza gesi kuwa mafuta mbadala na hiyo petrol kuwa historia (ingawaje ni mchakoto mrefu). Pia wasambaze gesi kila nyumba na waweke miundo mbinu ya usalama huko majumbani... yes ni gharama gubwa - prof. Kitila asema tunakopesheka, waende basi wachukue mkopo kwa ajili hii .. sio kila siku kusingizia vita, vita vita.. uchumi wa dunia na mengine mengi... 60 years on, still same stories .. ndio maana Trump aliseme - we are -s..t hole countries na sisi tuko kimya tu bila majibu ya uhakika...

Tuanze sasa tuwe energy sufficient, health care sufficent na kila kitu ... Tunaweza... kulia lia haku-solve chochote... na umatonya hautatutoa hapa tulipo ili tuwe huru na hii migogoro ya kidunia...
 
Yaani nifanye kwa matumizi ya kwangu niwe naihujumu shirika uchwara,?sidhan kama ni kwel hilo. Na kama ni kwlei tuna nchi ya kipumbavu kuliko upumbavu wenyewe
Mkuu huo umeme Sio uke wa mavi unaungia KWENYE sinki la choo!!?au kinyesi cha wanyama!!?
 
Watanzania wengi kwa ukosefu wa Elimu bora na Ufahamu jumuifu walijikuta wanashabikia sana Vita ya Urusi na Ukraine. Wengi sana wakichukua pande kama wanavyoshabikia Simba na Yanga.

Na wengi walikuwa hawaelewi kwa nini NATO au USA haiingizi miguu yake. Kwa akili ile ile ya kishabiki wakimsifu either putin au rais wa ukraine.

Na wakaenda mbali kusema NATO wanaiogopa Urusi au pengine Urussi inaiogopa NATO. maneno mengi na ubishani vijiweni na kwenye mitandao usio na tija.

Leo mnaona Watawala wanatumia Vita hivi kuwaumiza wananchi zaidi. Kodi zinachomekewa humo ndani kwa ndani ukiuliza utaambiwa ni Vita ya Urusi Ukraine.

Athari za Vita hivyo zipo, lakini kuna wahuni ambao wameamua kwa makusudi to swim with the current. Tutegemee ufisaidi mkubwa sana kipindi hiki hasa kwa nchi zetu za kiafrika nyingi. Zila chache kuna marais wanapambana kupunguza makali ya maumivu kwa wananchi wao.

Na kwa zile ambazo zina bahati mbaya Marais wanatumia nafasi hiyo kuwa nyonya damu wananchi wao. Sasa kila kitu kimepanda. Hadi pipi zimepanda bei. Vita vya Urusi Ukraine.

Je, tuendelee kushabikia kama tunavyozishabikia Manchester na Liverpool au sasa tuanze kuangalia tuna viongozi wa namna gani?

Tuungane kukataa wahuni
 
Back
Top Bottom