Sasa kama Ukraine kakubali kutojiunga tena NATO,wewe bado uoni kuwa huo ni ushindi tayari?.
Wewe bhana acha kufurahisha wenye akili zao,yaani raia wa USA wanaenda kununua mafuta nchi jirani na vidumu wewe unawachukulia poa?.Sasa kama huko G7 hali ni hiyo,wewe huku shithole Trump voice unaweza salimika kwa lipi?.... the point is; badala ya kuona hadaa za watawala kutumia hiyo vita kama kisingizio cha kuchomekea mikodi kuumiza wananchi; badala ya kuwabana watawala kupunguza ukali wa maisha ulioletwa na hii vita; tumebaki na ushabiki wa kijinga huku watawala wakitumia mwanya huo kuumiza wananchi.
Halafu, vitu kupanda bei vilianza kabla ya hiyo vita. Au umetumwa kumsafisha?Watanzania wengi kwa ukosefu wa Elimu bora na Ufahamu jumuifu walijikuta wanashabikia sana Vita ya Urusi na Ukraine. Wengi sana wakichukua pande kama wanavyoshabikia Simba na Yanga.
Na wengi walikuwa hawaelewi kwa nini NATO au USA haiingizi miguu yake. Kwa akili ile ile ya kishabiki wakimsifu either putin au rais wa ukraine.
Na wakaenda mbali kusema NATO wanaiogopa Urussi au pengine Urussi inaiogopa NATO. maneno mengi na ubishani vijiweni na kwenye mitandao usio na tija.
Leo mnaona ... Watawala wanatumia Vita hivi kuwaumiza wananchi zaidi. Kodi zinachomekewa humo ndani kwa ndani ukiuliza utaambiwa ni Vita ya Urusi Ukraine.
Athari za Vita hivyo zipo...lakini kuna wahuni ambao wameamua kwa makusudi to swim with the current. Tutegemee ufisaidi mkubwa sana kipindi hiki hasa kwa nchi zetu za kiafrika nyingi. Zila chache kuna marais wanapambana kupunguza makali ya maumivu kwa wananchi wao.
Na kwa zile ambazo zina bahati mbaya Marais wanatumia nafasi hiyo kuwa nyonya damu wananchi wao. Sasa kila kitu kimepanda. Hadi pipi zimepanda bei. Vita vya Urusi Ukraine.
Je tuendelee kushabikia kama tunavyozishabikia Manchester na Liverpool au sasa tuanze kuangalia tuna viongozi wa namna gani?
Nyie si mmekataa kukemea uvamizi wa Ukraine alioufanya Putin kwa sababu Nyerere aliwafundisha kutofungamana na upande wowote? Basi msilalamike hizo athari za huo uvamizi zikiwagusa.
Huna Loffer mwingine hukuNasimama na Putin. Mpaka sasa ushindi ni wake. Achana na propaganda za media za Magharibi.
Watu wanajiimarisha kiuchumi kabla ya uchaguzi.... the point is; badala ya kuona hadaa za watawala kutumia hiyo vita kama kisingizio cha kuchomekea mikodi kuumiza wananchi; badala ya kuwabana watawala kupunguza ukali wa maisha ulioletwa na hii vita; tumebaki na ushabiki wa kijinga huku watawala wakitumia mwanya huo kuumiza wananchi.
Jamiiforums imebakiza watu wachache sana wenye akili kama wewe. Wachache sana aisee.... Hongera sana kwa kuweza elewa na kuwaelimisha wengine wasio na afya ya akili.... the point is; badala ya kuona hadaa za watawala kutumia hiyo vita kama kisingizio cha kuchomekea mikodi kuumiza wananchi; badala ya kuwabana watawala kupunguza ukali wa maisha ulioletwa na hii vita; tumebaki na ushabiki wa kijinga huku watawala wakitumia mwanya huo kuumiza wananchi.
Mkuu Sio kwamba unaihujumu Tanesco!!?KILA mtu angekuwa nayo!!sheria ni kali Sana aiseh!!Hii teknolojia sio lazima ulazimishwe ila kwenye level ya household itengeneze
Utakuja kunishukuru mi naitumia home yaan gharama ya mkaa, gas na umeme wakupikia ni zero
hata tusingeshabikiaWatanzania wengi kwa ukosefu wa Elimu bora na Ufahamu jumuifu walijikuta wanashabikia sana Vita ya Urusi na Ukraine. Wengi sana wakichukua pande kama wanavyoshabikia Simba na Yanga.
Na wengi walikuwa hawaelewi kwa nini NATO au USA haiingizi miguu yake. Kwa akili ile ile ya kishabiki wakimsifu either putin au rais wa ukraine.
Na wakaenda mbali kusema NATO wanaiogopa Urusi au pengine Urussi inaiogopa NATO. maneno mengi na ubishani vijiweni na kwenye mitandao usio na tija.
Leo mnaona Watawala wanatumia Vita hivi kuwaumiza wananchi zaidi. Kodi zinachomekewa humo ndani kwa ndani ukiuliza utaambiwa ni Vita ya Urusi Ukraine.
Athari za Vita hivyo zipo, lakini kuna wahuni ambao wameamua kwa makusudi to swim with the current. Tutegemee ufisaidi mkubwa sana kipindi hiki hasa kwa nchi zetu za kiafrika nyingi. Zila chache kuna marais wanapambana kupunguza makali ya maumivu kwa wananchi wao.
Na kwa zile ambazo zina bahati mbaya Marais wanatumia nafasi hiyo kuwa nyonya damu wananchi wao. Sasa kila kitu kimepanda. Hadi pipi zimepanda bei. Vita vya Urusi Ukraine.
Je, tuendelee kushabikia kama tunavyozishabikia Manchester na Liverpool au sasa tuanze kuangalia tuna viongozi wa namna gani?
Hakijulikani ulichokiongea, kunywa maji kidogo, tulia alafu uanze upya kuongeaWatanzania wengi kwa ukosefu wa Elimu bora na Ufahamu jumuifu walijikuta wanashabikia sana Vita ya Urusi na Ukraine. Wengi sana wakichukua pande kama wanavyoshabikia Simba na Yanga.
Na wengi walikuwa hawaelewi kwa nini NATO au USA haiingizi miguu yake. Kwa akili ile ile ya kishabiki wakimsifu either putin au rais wa ukraine.
Na wakaenda mbali kusema NATO wanaiogopa Urusi au pengine Urussi inaiogopa NATO. maneno mengi na ubishani vijiweni na kwenye mitandao usio na tija.
Leo mnaona Watawala wanatumia Vita hivi kuwaumiza wananchi zaidi. Kodi zinachomekewa humo ndani kwa ndani ukiuliza utaambiwa ni Vita ya Urusi Ukraine.
Athari za Vita hivyo zipo, lakini kuna wahuni ambao wameamua kwa makusudi to swim with the current. Tutegemee ufisaidi mkubwa sana kipindi hiki hasa kwa nchi zetu za kiafrika nyingi. Zila chache kuna marais wanapambana kupunguza makali ya maumivu kwa wananchi wao.
Na kwa zile ambazo zina bahati mbaya Marais wanatumia nafasi hiyo kuwa nyonya damu wananchi wao. Sasa kila kitu kimepanda. Hadi pipi zimepanda bei. Vita vya Urusi Ukraine.
Je, tuendelee kushabikia kama tunavyozishabikia Manchester na Liverpool au sasa tuanze kuangalia tuna viongozi wa namna gani?
Uliza na wewemkubwa ulitaka watanzania wa hapo Ibisa bhagen sengerema waizuie hii vita ya Putin vs NATO
Yaani nifanye kwa matumizi ya kwangu niwe naihujumu shirika uchwara,?sidhan kama ni kwel hilo. Na kama ni kwlei tuna nchi ya kipumbavu kuliko upumbavu wenyeweMkuu Sio kwamba unaihujumu Tanesco!!?KILA mtu angekuwa nayo!!sheria ni kali Sana aiseh!!
Mimi nimemuelewa, anataka kuwalaumu wa Tanzania kwa kukubaliana na mawazo ya kijinga ya watawala wetu ya kuwasingizia Urusi na ukraine kwa kupanda kwa gharama za maisha... ni kwa nini wasifanye chochote kile kuwaondoa viongozi wetu madarakani maana kila mgogoro ukitokea huko duniani umekuwa chanzo cha watawala wetu kupatiapo upenyo wa kupandisha kodi... mfano... vita ya Iraq na Kuwait, Libya na sasa Ukraine. Ya nini kujitapa ushindi wa kishindo bila kutatua matatizo yetu? ya nini kung'ang'ania madarakani ili hali dish la mawazo limeganda huko serikalini ? ya ni ni wasikubali mawazo mbadala ? ya nini kusingizia hata vitu vya wazi vya kukosa ubunifu wa kukabiliana na athari kama hizi za vita?Mleta mada kachanganyikiwa bila shaka.
Analaumu watanzania kana kwamba ndio walio sababisha hiyo issue
Wacha watu washabikie, hawa kuianzisha wao wala hawana uwezo wa kuikomesha.
Halafu ule siyo uvamizini OPERESHENI YA KIJESHI.
Mkuu, hii katuni yako imemaliza kila kitu... nimecheka sana kama hao... asante kwa kunifanya nicheke...🙂Sisi tunaendelea kushabikia, team Putin tunasema acheni vita iendelee hatutaki visingizio wala lawama nyie pigeni vikwazo sisi tunapiga mabomu viva Russia🇷🇺🇷🇺🇷🇺
View attachment 2181322
Mkuu huo umeme Sio uke wa mavi unaungia KWENYE sinki la choo!!?au kinyesi cha wanyama!!?Yaani nifanye kwa matumizi ya kwangu niwe naihujumu shirika uchwara,?sidhan kama ni kwel hilo. Na kama ni kwlei tuna nchi ya kipumbavu kuliko upumbavu wenyewe
Watanzania wengi kwa ukosefu wa Elimu bora na Ufahamu jumuifu walijikuta wanashabikia sana Vita ya Urusi na Ukraine. Wengi sana wakichukua pande kama wanavyoshabikia Simba na Yanga.