Tuliokuwa tunashabikia Uvamizi wa Urusi, Ukraine. Tuendelee kuchochea Kuni? Yajayo yanasikitisha

Mkeo anatabu sana muda wote unawaza katiba

USSR
Yaani manyoya ukiambiwa #KATIBA MPYA# NA #TUME HURU# ,unatetemeka. Sijui wewe ndio Miguu Chemba?
 
Ushabikie usishabikie...wewe mswahili wa manzese utabadili nini kinachoendelea urusi?
 
Suala la kujiuliza...NI KWANINI WANASHABIKIA?!!

Je hawajui GHARAMA za vita kwa uchumi wa dunia....binafsi ninajua wanafahamu vyema tu......

#Siempre JMT🙏
 
Nyie si mmekataa kukemea uvamizi wa Ukraine alioufanya Putin kwa sababu Nyerere aliwafundisha kutofungamana na upande wowote? Basi msilalamike hizo athari za huo uvamizi zikiwagusa.
Mimi binafsi toka day one ya vita niko na Ukraine

Urusi alichofanya kwenye dunia ya sasa iliyostaabika sicho kabisa

URUSI Anatakiwa kikemewa na kupingwa na kila mstaarabu duniani
 
Tatizo ni CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…