Tuliokuwa tunavutiwa na Rebeca Gyumi tuwe wapole, kuna jamaa ameshafanya kweli

Sio hivyo tu naskia alishaapa katika maisha yake yote duniani hata akiolewa lazima mume wake atumie condom tena mbili kwa pamoja kabla ya tendo, na tena anamvalisha yeye mwenyewe.
Duh ana msimamo balaa
 
Huyu dada nilianzaga kumuona kwenye FEMINA magazine kisha FEMA kama mhariri msaidizi huku CHIKU LWENO akiwa mhariri mkuu kama sijakosea. Japo sikuelewa yaliendaje yeye na yule AMILIBUS(nadhani nimekosea kuliandika) na LYDIA. baadaye akahamia kwenye HAKI ELIMU. kile kipindi kilikuwa kizuri alikuwa anakwenda mpaka vijijini tena nakumbuka kipindi kimoja alielezea mtoto aliye anguka darasani kwa mapepo.

baadaye kwenye kipindi cha wanawake cha itv nikamuona kwenye show ile huku akiwa na asasi yake inayoitwa GIRL INNITIATIVE.

HUYU DADA MIMI NIMEMPENDA JAPOKUWA MKUBWA KWANGU. HUWA NIKISIKIA SHOW YAKE NTAFANYA YOTE ILI NISIIOKOSE.

MUNGU AMTANGULIE KATIKA KILA HATUA APIGAYO
 
Kakawaida sana! Ukikakazia macho usoni utagunduz ubovu wake.
 
Zamani alikuaga mzuri...saivi hamna kitu..kazidi kukomaa mashavu tu.
Kweli uzuri wa mwanamke ni nyakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…