Tuliokuwa tunavutiwa na Rebeca Gyumi tuwe wapole, kuna jamaa ameshafanya kweli

Tuliokuwa tunavutiwa na Rebeca Gyumi tuwe wapole, kuna jamaa ameshafanya kweli

Very much possible and many countries have interest in the new technology micro chip development break through. World power; technology; does not consider human lives.
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Ile kesi ya ndoa za utotoni kupingwa kikatiba nadhani ilisikika sana mwaka 2016 miezi ya katikati, basi huyu ndio alikuwa mshika bango na timu yake ya mawakili nadhani. Hata huku atakwepo bila shaka.
 
Ndo nani jamani nae ni celebrity wa hapa kwetu?
Jaribu ku-google utapata habari zake. Mwakembye na A.G hawana hamu naye maana amewagaragaza kwenye matope Mahakama kuu alipoishitaki serikali kupinga sheria mbovu inayoruhusu ndoa za watoto. Kapewa tuzo huko UN kwa ujasiri wake.
 
Ana sura na macho ya kinyiramba. Nahisi ni mnyiramba na kwa tabia za mademu wa kinyiramba halafu kasoma jamaa lazima awe mpole sana maana atapika tu ngumi kwa tusi mwaga ugali amwage mboga
 
Jaribu ku-google utapata habari zake. Mwakembye na A.G hawana hamu naye maana amewagaragaza kwenye matope Mahakama kuu alipoishitaki serikali kupinga sheria mbovu inayoruhusu ndoa za watoto. Kapewa tuzo huko UN kwa ujasiri wake.
Ukiondoa marehemu Mtikila sikumbuki mtanzania mwingine ambaye amedhubutu kuipeleka serikali mahakamani kwa kesi ya kikatiba na kuishinda. Sasa huyu binti pamoja na umri mdogo kafanikiwa kiasi hicho.. Ni kitu cha kushangaza kusikia kuwa hafahamiki hapa nyumbani na tuliojaliwa kidogo tunaona kutumia bundle kujielisha kidogo ni kupoteza hela.
 
Back
Top Bottom