Miaka hiyo mkuu kuweka rekodi sawa hiyo senti 50 ulikuwa unapata nn?
nimetumia sana enzi ya ruksa
Akaamua kutuletea kunguru weusi wa Pakistan ili wale matakataka, pathetic, maana wakala mpaka ndege na mayai yote karibu ya ndege asilia! Hicho kitu nakilaani sana!Naona mnaitana wahenga..wengine tumezaliwa ngwe ya mwisho kabisa ya utawala wake...hapatuhusu hapa! naskia gari zilikua zonapita juu ya mlima Wa takataka..*****
nilikuwa nanunua kalamu,babrish,pipi na vitumbua shuleniMiaka hiyo mkuu kuweka rekodi sawa hiyo senti 50 ulikuwa unapata nn?
Lakini historian inaonyesha kunguru alipewa kama zawadi ha ha kumbe kapewa kimba!Akaamua kutuletea kunguru weusi wa Pakistan ili wale matakataka, pathetic, maana wakala mpaka ndege na mayai yote karibu ya ndege asilia! Hicho kitu nakilaani sana!
Mpaka ikabidi UN iingilie kati kuua hao kunguru wa Pakistan! Heri sasa wamepungua na ndege wa asili wanarudi!
Mkuu fafanua kidogo hapo kwny gari?Naona mnaitana wahenga..wengine tumezaliwa ngwe ya mwisho kabisa ya utawala wake...hapatuhusu hapa! naskia gari zilikua zonapita juu ya mlima Wa takataka..*****
Ntafafanuaje wakati niliambiwa siku shuhudia..nyie vijeba ndio MTU ambie!Mkuu fafanua kidogo hapo kwny gari?
Ahhha ngojea maOT waje ,mimi Mwinyi anamaliza term yake ya pili 2 nlkuwa mdogoNtafafanuaje wakati niliambiwa siku shuhudia..nyie vijeba ndio MTU ambie!
Ahhha ngojea maOT waje ,mimi Mwinyi anamaliza term yake ya pili 2 nlkuwa mdogo
Your compassion is inspiring walahiLakini historian inaonyesha kunguru alipewa kama zawadi ha ha kumbe kapewa kimba!
Kizazi cha awamu ya kwanza wajukuu wake ndio Watawala wa Sasa kwao Hata kwenda Pritoria na Familia nyakati za Likizo ni uhujumu Uchumi
Ouch aisee!Huyu Mzee ndio Mjanja aliowatoa kwenye Ushamba wa kudhani kuwa na Fridge au TV ni kosa kisheria!
Marehemu Mzee wangu alinyang'anywa Fridge Airport ya Dsm akitokea kwenye Course fupi huko Nertheland kwa kuwa haikuruhusiwa kumiliki TV wala Fridge, gari kumiliki ni mpaka kibali cha RC na Tena uoneshe sababu za Msingi Kwanini unataka kuwa na gari na longolongo kibao, mfano Mikoa Kama Singida ili upate kibali ilikuwa lazima gari lisiwe na mmiliki Mmoja!
Kizazi cha awamu ya kwanza wajukuu wake ndio Watawala wa Sasa kwao Hata kwenda Pritoria na Familia nyakati za Likizo ni uhujumu Uchumi
Nashukru sana sehemu yote ya Utumishi wangu Serikalin ilikuwa Wakati wa Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Mashuhuri toka Msoga!
HahahahYour compassion is inspiring walahi
Hahahaha
'JF is where we dare to talk openly'UNACHOKITAFUTA UTAKIPATA
'JF is where we dare to talk openly'
Unajua tafsiri ya kimantiki ( sio kilugha) ya Maneno haya?