Bullycheka
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 560
- 493
Binafsi ingawa umri wangu ulikuwa sio mkubwa sana lakini kwa kiasi kikubwa nilishuhudia mabadiliko makubwa ya maisha!
Mwanzo TV tulikuwa tunaenda kuangalia kanisani (mission).
Tuliacha kuvaa mawingu na kaniki tukaanza kuvaa nguo Nzuri za mtumba!
Tuliacha kununua vitu kwny maduka ya ushirika, watu wengi walianzisha maduka mitaani!
Shule za binafsi nyingi zilianzisha!
Enzi zile kutembea ukaokota pesa barabarani Ilikuwa kawaida sana, (enzi hizo sarafu za Tsh 5, 10 na 20.
Hebu wa enzi hizo tukumbushane matukio mbalimbali yaliyotokea chini ya utawala wa mzee wetu Ali Hassan Mwinyi.
Utawala wa mwanzo ndo ulituletea umasikini kutokana na Sera za kimasikini za kijamaa,maana vitu muhimu vilionekana ni anasa,Sera za kijamaa zilizalisha walevi na wazinzi ikiwemo ndoa nyingi za mitaala maana ukiwa na hela ya ziada ukuruhusiwa kumiliki mali,hivo lzm uzitumie kwenye ulevi au kuhonga malaya. Ndio maana nyingi nyingi za kariakoo zilikuwa za wakinamama wengi walihongwa na makuli wa Bandari au watumishi wengi.Huyu Mzee ndio Mjanja aliowatoa kwenye Ushamba wa kudhani kuwa na Fridge au TV ni kosa kisheria!
Marehemu Mzee wangu alinyang'anywa Fridge Airport ya Dsm akitokea kwenye Course fupi huko Nertheland kwa kuwa haikuruhusiwa kumiliki TV wala Fridge, gari kumiliki ni mpaka kibali cha RC na Tena uoneshe sababu za Msingi Kwanini unataka kuwa na gari na longolongo kibao, mfano Mikoa Kama Singida ili upate kibali ilikuwa lazima gari lisiwe na mmiliki Mmoja!
Kizazi cha awamu ya kwanza wajukuu wake ndio Watawala wa Sasa kwao Hata kwenda Pritoria na Familia nyakati za Likizo ni uhujumu Uchumi
Nashukru sana sehemu yote ya Utumishi wangu Serikalin ilikuwa Wakati wa Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Mashuhuri toka Msoga!
Na Kingunge ndio alikuwa Mkandarasi wa Azimio la ArushaUtawala wa mwanzo ndo ulituletea umasikini kutokana na Sera za kimasikini za kijamaa,maana vitu muhimu vilionekana ni anasa,Sera za kijamaa zilizalisha walevi na wazinzi ikiwemo ndoa nyingi za mitaala maana ukiwa na hela ya ziada ukuruhusiwa kumiliki mali,hivo lzm uzitumie kwenye ulevi au kuhonga malaya. Ndio maana nyingi nyingi za kariakoo zilikuwa za wakinamama wengi walihongwa na makuli wa Bandari au watumishi wengi.
Enzi hizo ndo sukari iliingia sumu.
Watanzania nia wezangu sukari imeingia sumu. Kauli ya Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi
Nafikiri awamu hii Ilikuwa Ruksa kufanya kila unachojisikia kufanya.Awamu yake ndiyo iliwafanya Wahindi na Waarabu waanze kuwa na ' Jeuri ' kubwa na ' Nyodo ' ndani ya nchi hii huku Dawa za Kulevya ndiyo zikianza kushika kasi nchini ambapo ' Wakubwa ' wake kadhaa waliokuwa katika Serikali yake walikuwa wakijihusisha nazo. Naomba niishie hapa tafadhali.
Umeongea kweliUtawala wa mwanzo ndo ulituletea umasikini kutokana na Sera za kimasikini za kijamaa,maana vitu muhimu vilionekana ni anasa,Sera za kijamaa zilizalisha walevi na wazinzi ikiwemo ndoa nyingi za mitaala maana ukiwa na hela ya ziada ukuruhusiwa kumiliki mali,hivo lzm uzitumie kwenye ulevi au kuhonga malaya. Ndio maana nyingi nyingi za kariakoo zilikuwa za wakinamama wengi walihongwa na makuli wa Bandari au watumishi wengi.
In any capitalist country hayo mambo lazima yawepo refer China licha ya sheria kali lkn madawa yanaingiaAwamu yake ndiyo iliwafanya Wahindi na Waarabu waanze kuwa na ' Jeuri ' kubwa na ' Nyodo ' ndani ya nchi hii huku Dawa za Kulevya ndiyo zikianza kushika kasi nchini ambapo ' Wakubwa ' wake kadhaa waliokuwa katika Serikali yake walikuwa wakijihusisha nazo. Naomba niishie hapa tafadhali.
Kitumbua kimoja!Miaka hiyo mkuu kuweka rekodi sawa hiyo senti 50 ulikuwa unapata nn?
Mwanzo wa vifo wa viwanda vya ndani ya nchi!Haya wahenga tuambieni
Kumbe walikuja kipindi cha ruksa!? nilikuwa sijuiAkaamua kutuletea kunguru weusi wa Pakistan ili wale matakataka, pathetic, maana wakala mpaka ndege na mayai yote karibu ya ndege asilia! Hicho kitu nakilaani sana!
Mpaka ikabidi UN iingilie kati kuua hao kunguru wa Pakistan! Heri sasa wamepungua na ndege wa asili wanarudi!
Yup ndugu yangu hii kero ya kunguru weusi!Kumbe walikuja kipindi cha ruksa!? nilikuwa sijui
HahahahaNilifunga bar kwa kununua vinywaji vyote na watu walisherekea