Nyerere Julius hakupenda kilichokuwa kinaendelea Ikulu wakati wa Mwinyi. Akasema ni mahali patakatifu.
Kulikuwa na minongono mtaani, redio mbao for that matter kuwa anataka "kumpindua" Mwinyi.
Sasa akafanya mkutano na waandishi wa habari kusisitiza kuwa Ikulu ni mahali patakatifu.
Sasa: Mwandishi mmoja akamuuliza swali kuwa : unataka kumpindua Rais Mwyinyi. ALIKASIRIKA SANA TENA SANA!
JIBU: Akamuuliza mwandishi aliyeuliza swali hilo:
UKISIKIA MITAANI KUWA MIMI NDIYE BABA YAKO, UTAKURUPUKA NA KULIANDIKA MAGAZETINI?
Mkutano uliisha hapo hapo! Kila mmoj aliogopa kuuliza swali