Sasa na nyinyi mnaojisifia kua mmeleta maendeleo ya vitu, ni vipi hivyo sasa wakati Mvua ya nusu siku tu inatuacha hoi hatujiwezi?Miundombinu yanini na nyinyi kilakukicha mnapinga kuboreshwa miundombinu!?
mnataka maendeleo ya watu na sio vitu kama miundombinu,niajabu leo mnalilia miundombinu!
Miaka yote toka Uhuru, CCM (Formed by TANU and ASP) ndo iko Madarakani, kwanin haikujenga sasa?Pole mkuu.. Ichague CCM imalizie ujenzi wa daraja la Tanzanite.. Ujenzi huu utakapo kamilika, hutokutana na adha hii tena katika maisha yako hapa Daslam!
Uchumi ulikua mdogo.. Nchi haikua na uwezo.. Ila sasa tumekusanya nguvu na daraja linajengwa.... Daraja litakapokamilika utaishi kwa raha mustarehe.. Vumilia kidogo, majira kama haya mwakani, utakuwa unapita juu ya bahari kurudi nyumbani kumuwahi baby wako au kwenda mjini kuwahi kazini.. Tar 28 usifanye makosa.. We are almost there.. We count on u Shark!Miaka yote toka Uhuru, CCM (Formed by TANU and ASP) ndo iko Madarakani, kwanin haikujenga sasa?
Hatauko ulaya kwenye kila aina ya miundombinu mvua kubwa zikinyesha huwa miji inasimama,sikwambii barafu(snow),moto na vimbunga.Sasa na nyinyi mnaojisifia kua mmeleta maendeleo ya vitu, ni vipi hivyo sasa wakati Mvua ya nusu siku tu inatuacha hoi hatujiwezi?
Miaka yote mnalipwa ruzuku ona makao makuu yao wajinga hawaHili jiji kwa miaka mitano limeongozwa na halmashauri iliyotawaliwa na machadema leo hii wanajifanya kuruka kimanga.
Tatizo mlikurupuka na haya madaraja, na hayasaidii chochote kama mtu unafika nyumbani saa 7 usiku kuanzia saa 11 jioni, taahira peke yake ndio anaweza kusifia serikali kwa hizi one man show za awamu hii..Mbona Hamuekeweki Si Mnasema Maendeleo Ni ya Watu na Sio Vitu
Mara hamtak Mabarabara, Mara hamtaki flyover Mnataka nini ??
Mnatuchanganya sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakikujibu Lumumba YEHODAYA na team yake naomba ni tag plizz.Hivi kwanini hamkupanda dreamliner iwafikishe mpk majumbani kwenu wakuu?
Dah,
Muda ......
Kwa kweli katika hili nasema hapana, lazima tuonyeshane hapo 28-10 iwe isiwe.
Utopolo.Miundombinu yanini na nyinyi kilakukicha mnapinga kuboreshwa miundombinu!?
mnataka maendeleo yawatu na siovitu kama miundombinu,niajabu leo mnalilia miundombinu!
Jamani jana Dar ilikuwa imefurika maji maeneo yote. Sasa kote huko HALIMA alikuwa ndiye mbunge? Uzuri wake waliokwama jana kwa masaa 10 ni wale waliompigia kura Halima 2015. Basi kweli wameisoma namba 1,2,3,4,...."Yote hii kasababisha Halima Mdee!!" Hoja mfu ya Gwajima. Kumbe adha yote hii ni Magufuli. Waziri wa ujenzi miaka mingi sana na raisi kwa miaka 5. Anajenga barara ya fahari baharini kwa sasa kwa sababu anaamini maendeleo ya vitu badala ya watu. Hela ya barabara ile ingetosha kumaliza tatizo hili la mafuriko ya kila mwaka Dar.