Uchaguzi 2020 Tuliokwama Kwenye Foleni Sababu ya Miundombinu Mibovu tuna Jambo Letu tarehe 28 Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Tuliokwama Kwenye Foleni Sababu ya Miundombinu Mibovu tuna Jambo Letu tarehe 28 Oktoba 2020

Miundombinu yanini na nyinyi kilakukicha mnapinga kuboreshwa miundombinu!?
mnataka maendeleo ya watu na sio vitu kama miundombinu,niajabu leo mnalilia miundombinu!
Sasa na nyinyi mnaojisifia kua mmeleta maendeleo ya vitu, ni vipi hivyo sasa wakati Mvua ya nusu siku tu inatuacha hoi hatujiwezi?
 
Pole mkuu.. Ichague CCM imalizie ujenzi wa daraja la Tanzanite.. Ujenzi huu utakapo kamilika, hutokutana na adha hii tena katika maisha yako hapa Dar es salaam
 
Pole mkuu.. Ichague CCM imalizie ujenzi wa daraja la Tanzanite.. Ujenzi huu utakapo kamilika, hutokutana na adha hii tena katika maisha yako hapa Daslam!
Miaka yote toka Uhuru, CCM (Formed by TANU and ASP) ndo iko Madarakani, kwanin haikujenga sasa?
 
Miaka yote toka Uhuru, CCM (Formed by TANU and ASP) ndo iko Madarakani, kwanin haikujenga sasa?
Uchumi ulikua mdogo.. Nchi haikua na uwezo.. Ila sasa tumekusanya nguvu na daraja linajengwa.... Daraja litakapokamilika utaishi kwa raha mustarehe.. Vumilia kidogo, majira kama haya mwakani, utakuwa unapita juu ya bahari kurudi nyumbani kumuwahi baby wako au kwenda mjini kuwahi kazini.. Tar 28 usifanye makosa.. We are almost there.. We count on u Shark!
 
Jana nimejiuliza maswali mengi bila majibu.October 28 nina jambo langu kwa kweli sina mengi.Mungu atusaidie
 
Sasa na nyinyi mnaojisifia kua mmeleta maendeleo ya vitu, ni vipi hivyo sasa wakati Mvua ya nusu siku tu inatuacha hoi hatujiwezi?
Hatauko ulaya kwenye kila aina ya miundombinu mvua kubwa zikinyesha huwa miji inasimama,sikwambii barafu(snow),moto na vimbunga.
ni nature ya asili ya dunia akuna mwanadamu anaeshinda hizi vita.
 
Jiji la Dar halina solution kwenye foleni... Labda sasa watu wakatishwe vibali kutumia gari jijini kwa bei ya juu
 
Kiuhalisia lile Daraja la Salenda lilitakiwa liwe pale Jangwani , kule Salenda hakuna umuhimu wowote
 
Hili jiji kwa miaka mitano limeongozwa na halmashauri iliyotawaliwa na machadema leo hii wanajifanya kuruka kimanga.
Miaka yote mnalipwa ruzuku ona makao makuu yao wajinga hawa
2532673_makao_makuu.jpg
 
Mbona Hamuekeweki Si Mnasema Maendeleo Ni ya Watu na Sio Vitu
Mara hamtak Mabarabara, Mara hamtaki flyover Mnataka nini ??

Mnatuchanganya sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo mlikurupuka na haya madaraja, na hayasaidii chochote kama mtu unafika nyumbani saa 7 usiku kuanzia saa 11 jioni, taahira peke yake ndio anaweza kusifia serikali kwa hizi one man show za awamu hii..
 
Hivi foleni kipindi cha mvua ni kwamba askari wanaoongoza magari baada ya kuikimbia mvua ndo chanzo cha foleni ? ..je ni kwa sababu mataa huwa yanazima ? [emoji41][emoji41][emoji41] au je ni automatically lazima foleni iwepo?
 
Simki bomolewa mnataka fidia au sasa mnatakiwa muonyeshe sasa ni kwa wananchi smkwepe kwepe
 
Yaani!
Halafu msafara wa kiongozi unawahishwa endako BADALA ya YEYE kusimama na KUJARIBU kutatua tatizo! AIBU sana
 
"Yote hii kasababisha Halima Mdee!!" Hoja mfu ya Gwajima. Kumbe adha yote hii ni Magufuli. Waziri wa ujenzi miaka mingi sana na raisi kwa miaka 5. Anajenga barara ya fahari baharini kwa sasa kwa sababu anaamini maendeleo ya vitu badala ya watu. Hela ya barabara ile ingetosha kumaliza tatizo hili la mafuriko ya kila mwaka Dar.
Jamani jana Dar ilikuwa imefurika maji maeneo yote. Sasa kote huko HALIMA alikuwa ndiye mbunge? Uzuri wake waliokwama jana kwa masaa 10 ni wale waliompigia kura Halima 2015. Basi kweli wameisoma namba 1,2,3,4,....
 
Back
Top Bottom