Tata ya bana
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 295
- 357
Tulilipa hiyo 40,000 halafu bill ikarekebishwa mwezi uliofuata.
Hiyo ni mbinu ya Dawasco kuweza kuvuka malengo ya mwezi na labda kulipa Gawio la serikali kama bado hawajalipa kwani mwisho ni January 31!
Nani huyo ambae hana kazi ya kufanya
point hii sanaDawa yao ni kuwapeleka mahakamani kwa Wizi wa udanganyifu.
Mjikusanye wote mlioletewa bill za aina hiyo muende kwao kutafuta ushahidi ndipo mumtafute Wakili atakayesimamia kesi yenu hapo ndipo watakoma vinginevyo hawawezi kuacha mchezo huo unaoathiri bajeti za watu kipindi hichi cha vyuma kukaza.--- na kwanjia hiyo watu wengi wanaibiwa kwani sio wote hupeleka malalamiko yao na wala hawajui kulalamika au muda wa kulalamika hawana.
Jambo jingine watu wengi huwa hawana muda wa kusoma mita zao nyumbani au watu wengi hatujui jinsi ya kusoma mita, hiyo ni shida nyingine.
Asante mkuu umemalizaKazi ya kufanya ndiyo hiyo ya kupambana na Kibaka wa pesa za bili ya maji,--- wenye pesa haramu hawatakuwa na muda lakini wale wenzangu mie wa kuuza maandaazi kujikimu kimaisha--- Tsh 40,000 for water bill charge a month is a hell . Na mbaya zaidi imekuwa ni tabia yao ku over charge.
Mimi ni mhanga,lakini siko Dar,na nilikuwa likizo December,bili imeongezeka kutoka 3,000 wameniletea bili 40,000...Wakuu hivi hawa DAWASA hizi meter zao wamezitemptor? Majirani zangu nilikuwa naona wanalalamika wanaletewa mabili ya ajabu nikaona labda matumizi yao.
Jana wakanitumia bili yao, toka bili ya 5000 to 40000? Tena ya Desemba wakati kipindi hicho watu wengi walikuwa wamesafiri? Je, mliopata shida kama hii mlifanyaje?
Unit 1 = shs 1663Hivi unit moja ya maji NI bei gani?
Unit 1 ni sawa na lita ngapi za maji?Unit 1 = shs 1663
Unit 1 = 1000ltrsUnit 1 ni sawa na lita ngapi za maji!