Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
That extra bill was a christmas GIFT for you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu hivi hawa DAWASA hizi meter zao wamezitemptor? Majirani zangu nilikuwa naona wanalalamika wanaletewa mabili ya ajabu nikaona labda matumizi yao.
Jana wakanitumia bili yao, toka bili ya 5000 to 40000? Tena ya Desemba wakati kipindi hicho watu wengi walikuwa wamesafiri? Je, mliopata shida kama hii mlifanyaje?
Wanakutumia units ulizotumia na mita yako unaisoma kila wanapotuma bili, shida iko wapi?Wakuu hivi hawa DAWASA hizi meter zao wamezitemptor? Majirani zangu nilikuwa naona wanalalamika wanaletewa mabili ya ajabu nikaona labda matumizi yao.
Jana wakanitumia bili yao, toka bili ya 5000 to 40000? Tena ya Desemba wakati kipindi hicho watu wengi walikuwa wamesafiri? Je, mliopata shida kama hii mlifanyaje?