Tulioletewa bili za ajabu za maji ya DAWASA tukutane hapa

Mm pua imekuja nill ya 50000
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa jamaa usipokuwa makini wanakubambika
nliwaigi shauri msomamita anapokuja kuwe na mtu kuyoka nyumba husika ahakikishe wanachosoma kama ni kweli lakini wapi wakati mwengine hawaji wanakadiria


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na siku hizi mafundi wa Dawasco wamejitengenezea mradi kwa kushilikiana na manager husika wa eneo wanakata maji nje kwenye line au kwenye mita hata kama haudaiwi ili uende ofisini au umpigie simu fundi aje kuludisha au kutengeneza maji kw a gharama ya 50,000 hapo elfu 30,000 wanakwambia ya ofisi na 20,000 wananunua connector

Ilinitokea kama mbili nikalipa hiyo pesa Dawasco Kawe naona wameludia tena wanafanya kila mwezi baada ya kushtuka sasa nimepanga niende Takukuru na mara zote mbili Nilikua sidaiwi

Nina ushaidi wa camera wanavyokuja kufunga maji usiku ikiwa sidaiwi
 
Wanakutumia units ulizotumia na mita yako unaisoma kila wanapotuma bili, shida iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…