Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Anajijua aki...Nani huyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimemuona mmoja huyo hana madhara saaana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajijua aki...Nani huyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
25yrsUko single mpaka leo? Unaumri gani,
Hahahahatumekuja vip kun wachumba
haya nitafutie mumeKaribu sana bibie Ukhuty
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti kwahiyo kakushindwa alikua anakuangalia kwa juu ebu ngoja nikuje pm unitajieyule wa kipnd kile alinmwaga na yule mwengne nae akasema mi mfupi sana sasa ntafanyaje
Huyo mmoja atakuwa Bonny [emoji3][emoji3][emoji3]Anajijua aki...
Nimemuona mmoja huyo hana madhara saaana
Njoo PM nikuelekeze wanapopatikana hao wachumbahaya nitafutie mume
we huwezi kufikia hukohaya nitafutie mume
hahaha kwa niniwe huwezi kufikia huko
we acha tu mama kila tukigombana ananaijibu nasubr urefuke ndio tuanze kubishana si mazereu hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti kwahiyo kakushindwa alikua anakuangalia kwa juu ebu ngoja nikuje pm unitajie
we mtoto mashallah.., elmu ya dini imejaa.hahaha kwa nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni nani huyo kumbe mlishafika mbali vipii ulimkulawe acha tu mama kila tukigombana ananaijibu nasubr urefuke ndio tuanze kubishana si mazereu hayo
umri huu ntarefuka lin?
Tumefika kuna zawaidi gani humu?Ikiwa umefunga mwaka uko single na umeanza hivohivo bila kuchange status..lets meet here dears
Na hili baridiTutongozane tukagegedane tu demis
HahaHuyo mmoja atakuwa Bonny [emoji3][emoji3][emoji3]
Wee unasema mwaka tuu mwenzio huu ni mwaka wa 5 simjui mwanamkeIkiwa umefunga mwaka uko single na umeanza hivohivo bila kuchange status..lets meet here dears