wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Wee unasema mwaka tuu mwenzio huu ni mwaka wa 5 simjui mwanamkeIkiwa umefunga mwaka uko single na umeanza hivohivo bila kuchange status..lets meet here dears
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee unasema mwaka tuu mwenzio huu ni mwaka wa 5 simjui mwanamkeIkiwa umefunga mwaka uko single na umeanza hivohivo bila kuchange status..lets meet here dears
Da jamaa ameniwahi.Nakupenda sana demis naomba tuanze mwaka naww
MkeeKhaaaa
Si uko singo auMkee
Nani kasema huyo anayetaka kutugombanishaa ??Si uko singo au
OoohNani kasema huyo anayetaka kutugombanishaa ??
Mimi nimempa pole japo nilikuwa wa kwanza nafasi ya jove
Au una lolote la moyoniOooh
haya niombee mungu basiwe mtoto mashallah.., elmu ya dini imejaa.
we fanya hivi, ukisalimiwa itikia salam zao, wiki 1 ndefu
Veep hiyo veeepVeeepe kwani
We nidanganye tuu hivyo hivyoAu una lolote la moyoni
Sielewi ujueVeep hiyo veeep
Wala sikudanganyiiiWe nidanganye tuu hivyo hivyo
Usichoelewa kipii we si umesema hana madhara halaf naomba hela zangu zoteSielewi ujue
HapoWala sikudanganyiii
Nianzie wapi kwa mfano