sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Siku ya leo imekuwa siku ya majuto makali sana ya moyo wangu, naweza nisieleweke lakini naomba niende moja kwa moja kwanza nimeumia kuona kabendera anaamini yakuwa Mbowe ni miongoni mwa watu wanao takiwa kukaa mezani na utawala kuomba radhi.
Pili na kubwa nimeumia kabendera leo ametoa Siri yakuwa Ili atoke ndani Kuna watu walifanya vikao zaidi ya hamsini(50), Ili aweze kutoka magereza sijui mahabusu.
Binafsi nilikuwa miongoni mwa vijana tuliopaza sauti ya kumtaka Mwendazake amwachie Kabendera. Mimi nilifika wakati nikawa naandika maandiko kwa lugha ya mamayangu niliamini mwendazake angeweza kusoma na kunielewa amwachie kijana wetu jaman.
Niliumia sana kukamatwa kwa kabendera na niliamini anasingiziwa Kila kosa maana jinsi alivyokamatwa kabendera ni kama mtego wa panya unavyonasaga panya mazingira ya ukamatwaji yalinipa confidence kuwa anasingiziwa.
Nilienda mbali nikaanza kuchunguza ni nani aliyemchongea Huyu kijana katika pita pita yangu nilibaini Moja ya Maandiko ya Mzee aliyeungana na mwendazake kwa lengo la kutafuta uteuzi ila aliukosa kwa sababu za mwendazake baada ya kumchunguza, ndugu Pascally Mayalla nilibaini kuwa moja ya maandiko yake yalimchonganisha kabendera na mwendazake.
Nilikuja na andiko ilo liliromshutumu Huyu Mzee Pascally Mayalla nikili ukubwa jalala Huyu Mzee hakujibu wara ilo andiko hajawai sema lolote.
Leo baada ya kumsikia kabendera akiandika kupitia tweeter yakuwa vilikaa vikao zaidi ya 50 watu walikaa na ile MBOGO kumwombea Msamaha kabendera nimeamini Huyu mtu alifanya makosa MAKUBWA sana na kama inawezekana akamatwe Tena tuanze upya Huyu mtu alihujumu TAIFA akamatwe.
Sambamba na kuomba akamatwe naomba niwajuze wasomaji yakuwa kwa kuwa nipo njiani naenda kula krismasi umamani nikifika chato ntashuka na kwenda kwa kaburi la mwendazake kuomba radhi.
Ila kwa leo kwa kuwa Mzee Pascally Mayalla Mwandishi mkongwe Huyu Sina budi kumwomba Radhi, ndugu, kaka yangu Pascally Mayalla nakuomba radhi, niseme wazi kama usingekuwa ulichukua kadi ya chama Cha mapinduzi na kushiriki kugombea uchaguzi mchafu ningenunua Dume la ng'ombe na kuja kwako kuomba radhi ndivyo tufanyavyo sisi wamalawi punde ukibaini ulimkosea mwanaume.
Naomba radhi ila naomba kabendera akamatwe Tena aruidishwe rumande achunguzwe.
Naitwa Sifi leo.