igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Kawa huru?? Anaishi wapi sasa?? Anaendelea na kazi zake na familia yake hapa nchini kama zamani??Baada ya kuomba radhi Kabendera kapungua nini au ni kipi kimepungua kutoka kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawa huru?? Anaishi wapi sasa?? Anaendelea na kazi zake na familia yake hapa nchini kama zamani??Baada ya kuomba radhi Kabendera kapungua nini au ni kipi kimepungua kutoka kwake
Mimi ninachojiuliza ni kwamba je huyo mhusika mwenyewe (Mbowe) nini hasa msimamo wake kuhusu hayo mazungumzo ya mapatano? Je ni kweli kwamba hawajamu approach yeye mwenyewe?? Kipi ni rahisi kutumia wapambe kumshawishi au kumuona yeye mwenyewe na kupata msimamo wake? Huyu bwana amefanyiwa madhila mengi sanaaa in all aspects (kiuchumi, kijamii, kisiasa) kwa kipindi chote cha awamu ya tano but je ali give in??Sijaona alichokosea Kabendera, sema kwakuwa ni ruksa kutoa maoni yako tumeyasikia. Kiukweli nawashangaa ambao mnataka Mwenyekiti anendelee kukaa gerezani wakati watu wameshaomba wakuu waangalie namna ya kulimaliza hili, kipi hasa mnachokitaka?
Familia yake itakuwa inamuhitaji sana waweze kufurahia Christmas na mwaka mpya.
Hawa watu hawaeleweki wanataka nini hasa,hata suala la Mnyika kuzungumza na Mangula ili hili jambo lishughilikiwe,nadhani anatafutiwa timing tu,naye atashambuliwa sana tuSijaona alichokosea Kabendera, sema kwakuwa ni ruksa kutoa maoni yako tumeyasikia. Kiukweli nawashangaa ambao mnataka Mwenyekiti anendelee kukaa gerezani wakati watu wameshaomba wakuu waangalie namna ya kulimaliza hili, kipi hasa mnachokitaka?
Familia yake itakuwa inamuhitaji sana waweze kufurahia Christmas na mwaka mpya.
Chrismasi ni kubwa kuliko siku ya kuzaliwa kwake mbwea weSijaona alichokosea Kabendera, sema kwakuwa ni ruksa kutoa maoni yako tumeyasikia. Kiukweli nawashangaa ambao mnataka Mwenyekiti anendelee kukaa gerezani wakati watu wameshaomba wakuu waangalie namna ya kulimaliza hili, kipi hasa mnachokitaka?
Familia yake itakuwa inamuhitaji sana waweze kufurahia Christmas na mwaka mpya.
hapo sasa nimekuelewa mkuuKwa mujibu wa andiko lake , kosa la kabendera ni kuomba msamaha, ilhali hajafanya kosa au jinai
Binafsi nimemuelewa sana mtoa mada , mwanaharakati hataikiwi at any time ku compromise msimamo wake in return to anything., Tangible or intangible.
Richard nixon aliwahi kuwa padorned na rais Gerrard ford , kwa kosa ambalo hata hakuwahi kufanya .it is said to be the controversial pardon of all the times .
Ametumia hisia kuandika sijaona kosa la kabendera ....labda anaona kile alichoandika twita ndio kosa ..Mkuu,fanya ufupisho, kosa la kabendera unalomlaumu ni lipi ? sie
ewi, kusema vilikaa vikao kumuombea msamaha ni vibaya ?
Ufanye utafiti kwanza sio kufuata mdundiko!Siku ya leo imekuwa siku ya majuto makali sana ya moyo wangu, naweza nisieleweke lakini naomba niende moja kwa moja kwanza nimeumia kuona kabendera anaamini yakuwa Mbowe ni miongoni mwa watu wanao takiwa kukaa mezani na utawala kuomba radhi.
Pili na kubwa nimeumia kabendera leo ametoa Siri yakuwa Ili atoke ndani Kuna watu walifanya VIKao zaidi ya hamsini(50), Ili aweze kutoka magereza sijui mahabusu.
Binafis nilikuwa miongoni mwa vijana tuliopaza sauti ya kumtaka Mwendazake amwachie Kabendera. Mimi nilifika wakati nikawa naandika maandiko kwa lugha ya mamayangu niliamini mwendazake angeweza kusoma na kunielewa amwachie kijana wetu jaman.
Niliumia sana kukamatwa kwa kabendera na niliamini anasingiziwa Kila kosa maana jinsi alivyokamatwa kabendera ni kama mtego wa panya unavyonasaga panya mazingira ya ukamatwaji yalinipa confidence kuwa anasingiziwa.
Nilienda mbali nikaanza kuchunguza ni nani aliyemchongea Huyu kijana katika pita pita yangu nilibaini Moja ya Maandiko ya Mzee aliyeungana na mwendazake kwa lengo la kutafuta uteuzi ila aliukosa kwa sababu za mwendazake baada ya kumchunguza, ndugu Pascally Mayalla nilibaini kuwa moja ya maandiko yake yalimchonganisha kabendera na mwendazake.
Nilikuja na andiko ilo liliromshutumu Huyu Mzee Pascally Mayalla nikili ukubwa jalala Huyu Mzee hakujibu wara ilo andiko hajawai sema lolote.
Leo baada ya kumsikia kabendera akiandika kupitia tweeter yakuwa vilikaa vikao zaidi ya 50 watu walikaa na ile MBOGO kumwombea Msamaha kabendera nimeamini Huyu mtu alifanya makosa MAKUBWA sana na kama inawezekana akamatwe Tena tuanze upya Huyu mtu alihujumu TAIFA akamatwe.
Sambamba na kuomba akamatwe naomba niwajuze wasomaji yakuwa kwa kuwa nipo njiani naenda kula krismasi umamani nikifika chato ntashuka na kwenda kwa kaburi la mwendazake kuomba radhi.
Ila kwa leo kwa kuwa Mzee Pascally Mayalla Mwandishi mkongwe Huyu Sina budi kumwomba Radhi, ndugu, kaka yangu Pascally Mayalla nakuomba radhi, niseme wazi kama usingekuwa ulichukua kadi ya chama Cha mapinduzi na kushiriki kugombea uchaguzi mchafu ningenunua Dume la ng'ombe na kuja kwako kuomba radhi ndivyo tufanyavyo sisi wamalawi punde ukibaini ulimkosea mwanaume.
Naomba radhi ila naomba kabendera akamatwe Tena aruidishwe rumande achunguzwe.
Naitwa Sifi leo.
Sijaona alichokosea Kabendera, sema kwakuwa ni ruksa kutoa maoni yako tumeyasikia. Kiukweli nawashangaa ambao mnataka Mwenyekiti anendelee kukaa gerezani wakati watu wameshaomba wakuu waangalie namna ya kulimaliza hili, kipi hasa mnachokitaka?
Familia yake itakuwa inamuhitaji sana waweze kufurahia Christmas na mwaka mpya.
Shida ulisimama na mtu hukusimama na haki ndo maana unajuta ...Siku ya leo imekuwa siku ya majuto makali sana ya moyo wangu, naweza nisieleweke lakini naomba niende moja kwa moja kwanza nimeumia kuona kabendera anaamini yakuwa Mbowe ni miongoni mwa watu wanao takiwa kukaa mezani na utawala kuomba radhi.
Pili na kubwa nimeumia kabendera leo ametoa Siri yakuwa Ili atoke ndani Kuna watu walifanya VIKao zaidi ya hamsini(50), Ili aweze kutoka magereza sijui mahabusu.
Binafis nilikuwa miongoni mwa vijana tuliopaza sauti ya kumtaka Mwendazake amwachie Kabendera. Mimi nilifika wakati nikawa naandika maandiko kwa lugha ya mamayangu niliamini mwendazake angeweza kusoma na kunielewa amwachie kijana wetu jaman.
Niliumia sana kukamatwa kwa kabendera na niliamini anasingiziwa Kila kosa maana jinsi alivyokamatwa kabendera ni kama mtego wa panya unavyonasaga panya mazingira ya ukamatwaji yalinipa confidence kuwa anasingiziwa.
Nilienda mbali nikaanza kuchunguza ni nani aliyemchongea Huyu kijana katika pita pita yangu nilibaini Moja ya Maandiko ya Mzee aliyeungana na mwendazake kwa lengo la kutafuta uteuzi ila aliukosa kwa sababu za mwendazake baada ya kumchunguza, ndugu Pascally Mayalla nilibaini kuwa moja ya maandiko yake yalimchonganisha kabendera na mwendazake.
Nilikuja na andiko ilo liliromshutumu Huyu Mzee Pascally Mayalla nikili ukubwa jalala Huyu Mzee hakujibu wara ilo andiko hajawai sema lolote.
Leo baada ya kumsikia kabendera akiandika kupitia tweeter yakuwa vilikaa vikao zaidi ya 50 watu walikaa na ile MBOGO kumwombea Msamaha kabendera nimeamini Huyu mtu alifanya makosa MAKUBWA sana na kama inawezekana akamatwe Tena tuanze upya Huyu mtu alihujumu TAIFA akamatwe.
Sambamba na kuomba akamatwe naomba niwajuze wasomaji yakuwa kwa kuwa nipo njiani naenda kula krismasi umamani nikifika chato ntashuka na kwenda kwa kaburi la mwendazake kuomba radhi.
Ila kwa leo kwa kuwa Mzee Pascally Mayalla Mwandishi mkongwe Huyu Sina budi kumwomba Radhi, ndugu, kaka yangu Pascally Mayalla nakuomba radhi, niseme wazi kama usingekuwa ulichukua kadi ya chama Cha mapinduzi na kushiriki kugombea uchaguzi mchafu ningenunua Dume la ng'ombe na kuja kwako kuomba radhi ndivyo tufanyavyo sisi wamalawi punde ukibaini ulimkosea mwanaume.
Naomba radhi ila naomba kabendera akamatwe Tena aruidishwe rumande achunguzwe.
Naitwa Sifi leo.
Watu wanataka katiba mpyaSijaona alichokosea Kabendera, sema kwakuwa ni ruksa kutoa maoni yako tumeyasikia. Kiukweli nawashangaa ambao mnataka Mwenyekiti anendelee kukaa gerezani wakati watu wameshaomba wakuu waangalie namna ya kulimaliza hili, kipi hasa mnachokitaka?
Familia yake itakuwa inamuhitaji sana waweze kufurahia Christmas na mwaka mpya.
Baada ya kuomba radhi Kabendera kapungua nini au ni kipi kimepungua kutoka kwake
Mimi naona kama unaelezea hisia zako zaidi kuliko uhalisi wa jambo lenyewe. Labda sijakuelewa na kwa vile pia sijamsikiliza Kabendera anachozungumzia. Otherwise, nikupe pole kwa kukurupuka kuwalaani wenzako na kisha uwaombe radhi. Tulia, chunguza jambo na kisha toa maoni yako bila kuegemea upande.Siku ya leo imekuwa siku ya majuto makali sana ya moyo wangu, naweza nisieleweke lakini naomba niende moja kwa moja kwanza nimeumia kuona kabendera anaamini yakuwa Mbowe ni miongoni mwa watu wanao takiwa kukaa mezani na utawala kuomba radhi.