Tuliomtetea Kabendera tumwombe radhi mwendazake, Naanza na Pascal Mayalla nisamehe Mkuu

Mtu hata jela hujawahi kukaa halafu unakuja hapa na kweee kweee ooooh vumilia tu oooooh mwanaharakati hatakiwi kukubali wakati yeye kutumia tu jina lake halisi anaogopa, kuandamana kaambiwa toka na hajaonekana barabarani rahisi sana kuandika ukiwa kwa keyboard ila ukiwa kule unalala saa tisa na nusu kwe jela iliyojaa hadi kugeuka ahida ndo utajua kuna vitu inabidi uvifanye hata kama vinakuumiza ila upate nafuu utarekebisha baadae
 
Mimi ninachojiuliza ni kwamba je huyo mhusika mwenyewe (Mbowe) nini hasa msimamo wake kuhusu hayo mazungumzo ya mapatano? Je ni kweli kwamba hawajamu approach yeye mwenyewe?? Kipi ni rahisi kutumia wapambe kumshawishi au kumuona yeye mwenyewe na kupata msimamo wake? Huyu bwana amefanyiwa madhila mengi sanaaa in all aspects (kiuchumi, kijamii, kisiasa) kwa kipindi chote cha awamu ya tano but je ali give in??
 
Hawa watu hawaeleweki wanataka nini hasa,hata suala la Mnyika kuzungumza na Mangula ili hili jambo lishughilikiwe,nadhani anatafutiwa timing tu,naye atashambuliwa sana tu
 
Chrismasi ni kubwa kuliko siku ya kuzaliwa kwake mbwea we
 
hapo sasa nimekuelewa mkuu
 
Ufanye utafiti kwanza sio kufuata mdundiko!
 

Hapana hatakiwi atoke, anatakiwa akae ndani ili rais na kundi lake wakae kwa raha.
 
Shida ulisimama na mtu hukusimama na haki ndo maana unajuta ...
 
Utashangaa wengine waliokimbia nchi kwa kuogopa jela wanashauri Mbowe aendelee kukaa jela sababu hana kosa.

Maumivu na mateso ya mwenzio huwezi kuyahisi kama yeye. Wamuache Mbowe afanye anachohisi kina faida kwake.
 
Watu wanataka katiba mpya
 
Ulipaswa umlaumu huyo mwendazake wako kwa kupoteza muda kufungua kesi ambayo alijua haikuwa na mashiko.

Mbona hamtaki kukubali aliivuruga mihimili ya bunge na mahakama kwa maamuzi yake binafsi!
 
Mimi naona kama unaelezea hisia zako zaidi kuliko uhalisi wa jambo lenyewe. Labda sijakuelewa na kwa vile pia sijamsikiliza Kabendera anachozungumzia. Otherwise, nikupe pole kwa kukurupuka kuwalaani wenzako na kisha uwaombe radhi. Tulia, chunguza jambo na kisha toa maoni yako bila kuegemea upande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…