Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Kinachoshangaza zaidi ni majitu ya ccmUtashangaa wengine waliokimbia nchi kwa kuogopa jela wanashauri Mbowe aendelee kukaa jela sababu hana kosa.
Maumivi na mateso ya mwenzio huwezi kuyahisi kama yeye. Wamuache Mbowe afanye anachohisi kina faida kwake.
na bado atakuwa branded terrorist kwamba ni gaidi sema aliomba msamahaYale manakala yake bado anaandika?
Ndivyo itakavyokuwa kwa Mbowe,itampasa afuate masharti ya watakao msamehe
Msitake kuchulia matatizo ya mwenzenu kupata political mileage nendeni nyie jela tuone.Chrismasi ni kubwa kuliko siku ya kuzaliwa kwake mbwea we
CDM au? Watu wanataka maendeleo, ajira,maji safi, umeme ustawi wa biashara na kilimo cha kisasa.Watu wanataka katiba mpya
Mhhh hebu fafanuaUmerudi nchini? Bado umekimbia nchi?uliyemtaja hanijui na simjui, heshima mawazo yangu, nikweli wewe unamfahamu aliyemwekea sumu Babu yangu Ili afe urudi nchini kuzikura ekiane?
Tofauti ya Mbowe na kabendera ni credibility zao...Mbowe ni mwanaSiasa kesi waliyompa akiomba msamaha manake atakuwa amethibisha kosa lake ...Chama kitakuwa wapi? Kabendera katoka Jela anakula ugali wake hakuna anaemuuliza so huo ndio utofauti...kumbukaBaada ya kuomba radhi Kabendera kapungua nini au ni kipi kimepungua kutoka kwake
Acha kupotosha. Winnie Mandela hakutaka kabisa mandela aombe msamaha. Tena hakutaka kabisa kuwe na mapatano kati ya wazungu na weusi. She was very radical on that.....Mkuu ungefatilia hiyo story ya richard nixon na msamaha wa gerard ford....
Kuomba msamaha kwa kosa ambalo hukulifanya ni dalili za unafiki na uchumia tumbo na mbaya zaidi ni kuonekana huna msimamo. Mandela alikaa jela 27 years ,walter sesulu 25 years , hawakuwahi kuomba msamaha , japo kina winnie na wenzake
walikuwa wakiwasihi wakubali makosa ili wawe huru , had the two had compromised ,pengine kusingekuwa na south Africa tuijuayo hii leo
The term "mwanaharakati " comes with it hefty commitment, if one is not up to par with it ,ni bora kufanya kitu kingine .
Labda hujalewa au unafanya kusudi kuhusu concept ya ChademaSijaona alichokosea Kabendera, sema kwakuwa ni ruksa kutoa maoni yako tumeyasikia. Kiukweli nawashangaa ambao mnataka Mwenyekiti anendelee kukaa gerezani wakati watu wameshaomba wakuu waangalie namna ya kulimaliza hili, kipi hasa mnachokitaka?
Familia yake itakuwa inamuhitaji sana waweze kufurahia Christmas na mwaka mpya.
Si ndio kakimbia nchi sasaBaada ya kuomba radhi Kabendera kapungua nini au ni kipi kimepungua kutoka kwake
Wanachotaka Chadema Mbowe aachiwe bila mashart yakuomba MSAMAHA maana hakuna kesi pale ni UPUMBAVU tuHawa watu hawaeleweki wanataka nini hasa,hata suala la Mnyika kuzungumza na Mangula ili hili jambo lishughilikiwe,nadhani anatafutiwa timing tu,naye atashambuliwa sana tu
Kumshauri mhanga afanye anchotaka yeye si kumuonea huruma.Kinachoshangaza zaidi ni majitu ya ccm
Kumuonea huruma ya kinafiki kamanda Mbowe
Sio kila kitu kiwekwe wazi. Huwezi kuambiwa walikubalianaje nyuma ya paziaMkuu ungefatilia hiyo story ya richard nixon na msamaha wa gerard ford....
Kuomba msamaha kwa kosa ambalo hukulifanya ni dalili za unafiki na uchumia tumbo na mbaya zaidi ni kuonekana huna msimamo. Mandela alikaa jela 27 years ,walter sesulu 25 years , hawakuwahi kuomba msamaha , japo kina winnie na wenzake
walikuwa wakiwasihi wakubali makosa ili wawe huru , had the two had compromised ,pengine kusingekuwa na south Africa tuijuayo hii leo
The term "mwanaharakati " comes with it hefty commitment, if one is not up to par with it ,ni bora kufanya kitu kingine .
Ukiwa nje unajikuta shujaa, unajikuta huwezi kuomba msamaha kwa kile qmbacho hujatenda ili mradi utoke ndani. Ukiwa ndani unaloyaka ni kutoka nje tu kwa njia yoyote. Inafika muda uko tayari hata kukubali lolote ili uachiwe. Ndiyo maana watu wengi walikubali kuingia makubaliano ma dpp ili mradi waungane na familia zao.Alaaaaaa kumbe ni kweli Kabendera alifanya makosa makubwa sana kwa Taifa mpaka akaombewa msamaha - shame on him!!
Sisi tuliokuwa tunamtete tulifikili alionewa na Mwendazake!!! - shame on us!!
Wanaosema hivyo wanasema kwakuwa wako nje, ingekuwa wao wangeshaomba msamaha mapema. Watu nyuma ya keyboard wanajitia ushujaa sanaSijaona alichokosea Kabendera, sema kwakuwa ni ruksa kutoa maoni yako tumeyasikia. Kiukweli nawashangaa ambao mnataka Mwenyekiti anendelee kukaa gerezani wakati watu wameshaomba wakuu waangalie namna ya kulimaliza hili, kipi hasa mnachokitaka?
Familia yake itakuwa inamuhitaji sana waweze kufurahia Christmas na mwaka mpya.
Je kuna kosa kutumia haki yake ya kimsingi? kama alivyofanya?niseme wazi kama usingekuwa ulichukua kadi ya chama Cha mapinduzi na kushiriki kugombea uchaguzi mchafu