Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao!
Wakati wana ccm wakitukana sana jina la JPM, tukawashauri wapinzani kwamba, wao ndio wachukue jenda ya jina hilo ili kuwabomoa moja kwa moja Wapinzani wao kisiasa CCM, wakatukejeri kwa maneno yasiyo na maana
Kwa sasa, mambo yanaelekea kugeuka, na wao ndio wameanza kulalamika
Sasa komaeni tena kuwa wapinzani wa milele