Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Pumba express.Hapo nani mkabila dhidi yangu na wewe?
Hapo umeona nimetaja kabila la mtu
Wewe ni daktari wa nini yaani?
Wasomi wa nchi hii wengi wapumbavu sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumba express.Hapo nani mkabila dhidi yangu na wewe?
Hapo umeona nimetaja kabila la mtu
Wewe ni daktari wa nini yaani?
Wasomi wa nchi hii wengi wapumbavu sana!
Nchi yetu inasuasua kwa sababu ya watu kama ninyi. Badala ya kutaka wanasiasa washindane kwa hoja na matendo chanya wewe unashabikia ujuha wa maigizo wanayofanya kina wanasiasa. Hujui tu lakini wananchi ndiyo wanaangamia. Ni ule ule ujinga wa kudhani CCM mbovu ikiiba kura na kubaki madarakani basi wanaokomolewa ni kina Mbowe na Lissu.Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao!
Wakati wana ccm wakitukana sana jina la JPM, tukawashauri wapinzani kwamba, wao ndio wachukue jenda ya jina hilo ili kuwabomoa moja kwa moja Wapinzani wao kisiasa CCM, wakatukejeri kwa maneno yasiyo na maana
Kwa sasa, mambo yanaelekea kugeuka, na wao ndio wameanza kulalamika
Sasa komaeni tena kuwa wapinzani wa milele
Kile kitendo tu cha kuzuia kulitaja jina la Magufuli hata kwenye miradi mikubwa aliyokuwa kaianzisha yeye...CCM walimtukanaje Magufuli?
Unaweza kutuwekea facts hapa ili na sisi tunaotumia akili, badala ya maneno ya kwenye kanga na kahawa tuweze kujiridhisha!
Aise hiyo imeenda! hiyo imeendaaaaaa 😀 😀 😀 😀Waliokuwa wanambeza JPM sasa hivi wanatumbua macho tu!!Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao!
Wakati wana ccm wakitukana sana jina la JPM, tukawashauri wapinzani kwamba, wao ndio wachukue jenda ya jina hilo ili kuwabomoa moja kwa moja Wapinzani wao kisiasa CCM, wakatukejeri kwa maneno yasiyo na maana
Kwa sasa, mambo yanaelekea kugeuka, na wao ndio wameanza kulalamika
Sasa komaeni tena kuwa wapinzani wa milele
Hapa si unafiki ila ni kucheza na mazingira na upepo mpya wa kisiasa walikosa fursa kwa kumbeba JPM angalau hata kwa muda ili kufika malengo yao kisiasa. wapinzani kwishaWapinzani sio wanafiki. Yani watembelee upepk wa mtu ambaye wakati yupo hai aliwanyanyasa?. Hadi kupora uchaguzi 2020. Hata CCM ndio ipo madarakani sio hasara kwa upinzani
Ndomaa nikasema mimi sio muumini wa vijiwe vya kahawa. Ni bora uniwekee hayo matusi ili niunge mkono hoja.Usiwe mbishi wewe,adui wa kwanza kabisa wa ccm alikuwa ni magufuli.na viongozi wengi wa ccm wale wanafiki walikuwa wakimbeza na kumbagaza.
Hawatakuelewa mkuuNdomaa nikasema mimi sio muumini wa vijiwe vya kahawa. Ni bora uniwekee hayo matusi ili niunge mkono hoja.
Kumbuka kauli alizokuwa anatoa Lisu juu ya kile alichodai kuna makubaliano yaliofanywa na viongozi wenzake na ccm kuhusu swala la kugawana mkate. Je kwa fikra zako unafikiri ile tofauti ya kimtazamo kati ya Lisu na viongozi wenzake wakiongozwa na Mbowe ilikuwa ni matusi kwao?
Kwahiyo kutokutaja jina tu kwako wewe ni tusi, je ungekuwa mwenyekiti wa chama chetu alaf makamu wako akapingana na wewe kwa kauli kali kali kama hapo pichani si ndo ungejinyonga kabisa.Kile kitendo tu cha kuzuia kulitaja jina la Magufuli hata kwenye miradi mikubwa aliyokuwa kaianzisha yeye...
Mfano Ikulu ya Chamwino na siku ya ufunguzi wake!
Tayari watanzania tuliisoma na kuielewa hiyo mikakati Ovu!
Na kweli hawawezi kuelewa mkuu. We si unaona mimi najenga hoja wao wanajibu kwa njia ya vihoja 🤣🤣🤣Hawatakuelewa mkuu
Matusi ya watu wazima unadhani mpaka uambiwe ni mpumbavu?Kwahiyo kutokutaja jina tu kwako wewe ni tusi, je ungekuwa mwenyekiti wa chama chetu alaf makamu wako akapingana na wewe kwa kauli kali kali kama hapo pichani si ndo ungejinyonga kabisa.
Yaani wapinzani wajutie kutotumia kete ya dhalimu?Hawa jamaa watajutia hii nafasi
Chizi huyo.Yaani wapinzani wajutie kutotumia kete ya dhalimu?
Hapa si unafiki ila ni kucheza na mazingira na upepo mpya wa kisiasa walikosa fursa kwa kumbeba JPM angalau hata kwa muda ili kufika malengo yao kisiasa. wapinzani kwisha
Upinzani bongo ni wazeee wakupokea RUZUKU TU
Inaelekea hujui maana ya neno ukabila. Kati ya makabila yenye ukabila unaweka wasukuma kweli?Unapoiongelea kanda ya ziwa uondowe mkoa wa Mara halafu tumia neno wasukuma ndio wajinga waliojaa ukabila.
Na mijisifa ya kuporomosha maghorofa vijijini😁😁Upinzani bongo ni wazeee wakupokea RUZUKU TU
Ni mwenda wazim tu anaweza kubali kwamba ili mambo yaende hasa kanda ya ziwa basi lazima kufuata upepo wa mwendazake,Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao!
Wakati wana ccm wakitukana sana jina la JPM, tukawashauri wapinzani kwamba, wao ndio wachukue jenda ya jina hilo ili kuwabomoa moja kwa moja Wapinzani wao kisiasa CCM, wakatukejeri kwa maneno yasiyo na maana
Kwa sasa, mambo yanaelekea kugeuka, na wao ndio wameanza kulalamika
Sasa komaeni tena kuwa wapinzani wa milele
The Big Brain.Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli