CCM walimtukanaje Magufuli?Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwarudisha kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Nabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa
Wakati wana ccm wakitukana sana jina la JPM, tukawashauri wapinzani kwamba, wao ndio wachukue jenda ya jina hilo ili kuwabomoa moja kwa moja Wapinzani wao kisiasa CCM, wakatukejeri kwa maneno yasiyo na maana
Kwa sasa, mambo yanaelekea kugeuka, na wao ndio wameanza kulalamika
Sasa komaeni tena kuwa wapinzani wa milele
Kanda ya ziwa ni watu wenye akili inayyojitegemea, hawaelekezwi nani wa kumkubali au kuchagua, mitazamo yao haiwi compromisedKinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao!
Wakati wana ccm wakitukana sana jina la JPM, tukawashauri wapinzani kwamba, wao ndio wachukue jenda ya jina hilo ili kuwabomoa moja kwa moja Wapinzani wao kisiasa CCM, wakatukejeri kwa maneno yasiyo na maana
Kwa sasa, mambo yanaelekea kugeuka, na wao ndio wameanza kulalamika
Sasa komaeni tena kuwa wapinzani wa milele
Naniliu kaamulia ugomviCCM walimtukanaje Magufuli?
Unaweza kutuwekea facts hapa ili na sisi tunaotumia akili, badala ya maneno ya kwenye kanga na kahawa tuweze kujiridhisha!
Kanda ya ziwa ni watu wanaopenda viongozi shupavu na wapiga kazi na siyo maneno mengi, na ndiyo maana walimkubali sana JPM na bado wanamkubaliKanda ya ziwa ni watu wenye akili inayyojitegemea, hawaelekezwi nani wa kumkubali au kuchagua, mitazamo yao haiwi compromised
Usiwe mbishi wewe,adui wa kwanza kabisa wa ccm alikuwa ni magufuli.na viongozi wengi wa ccm wale wanafiki walikuwa wakimbeza na kumbagaza.CCM walimtukanaje Magufuli?
Unaweza kutuwekea facts hapa ili na sisi tunaotumia akili, badala ya maneno ya kwenye kanga na kahawa tuweze kujiridhisha!
Wapuuzi sana. Walishupaza shingo wakajua mambo yatabaki vile vile. Sasa wamebaki kujifariki kwenye picha za mbele ya nyumba ya mwamba. Hawajui hataa waanze vipi. Na CCM ishamaliza kazi Ndio maana hata haina mpango na maridhiano yao maana imeshawamaliza na hawawezi Tena kukaa kwenye line iyo ni mpk 2026 tuanze upyaa 😂😂Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao!
Wakati wana ccm wakitukana sana jina la JPM, tukawashauri wapinzani kwamba, wao ndio wachukue jenda ya jina hilo ili kuwabomoa moja kwa moja Wapinzani wao kisiasa CCM, wakatukejeri kwa maneno yasiyo na maana
Kwa sasa, mambo yanaelekea kugeuka, na wao ndio wameanza kulalamika
Sasa komaeni tena kuwa wapinzani wa milele
KUjifariki?? 🤣🤣🤣Wapuuzi sana. Walishupaza shingo wakajua mambo yatabaki vile vile. Sasa wamebaki kujifariki kwenye picha za mbele ya nyumba ya mwamba. Hawajui hataa waanze vipi. Na CCM ishamaliza kazi Ndio maana hata haina mpango na maridhiano yao maana imeshawamaliza na hawawezi Tena kukaa kwenye line iyo ni mpk 2026 tuanze upyaa 😂😂
Hawa jamaa watajutia hii nafasiWapuuzi sana. Walishupaza shingo wakajua mambo yatabaki vile vile. Sasa wamebaki kujifariki kwenye picha za mbele ya nyumba ya mwamba. Hawajui hataa waanze vipi. Na CCM ishamaliza kazi Ndio maana hata haina mpango na maridhiano yao maana imeshawamaliza na hawawezi Tena kukaa kwenye line iyo ni mpk 2026 tuanze upyaa 😂😂
Unapoiongelea kanda ya ziwa uondowe mkoa wa Mara halafu tumia neno wasukuma ndio wajinga waliojaa ukabila.Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao!
Wakati wana ccm wakitukana sana jina la JPM, tukawashauri wapinzani kwamba, wao ndio wachukue jenda ya jina hilo ili kuwabomoa moja kwa moja Wapinzani wao kisiasa CCM, wakatukejeri kwa maneno yasiyo na maana
Kwa sasa, mambo yanaelekea kugeuka, na wao ndio wameanza kulalamika
Sasa komaeni tena kuwa wapinzani wa milele
Hapo nani mkabila dhidi yangu na wewe?Unapoiongelea labda ya ziwa uondowe mkoa wa Mara halafu tumia neno wasukuma ndio wajinga waliojaa ukabila.
Hoja ya kijinga haijadiliwi.Hoja jadidi mkuu!
Asante
Acha kutukana..Unapoiongelea labda ya ziwa uondowe mkoa wa Mara halafu tumia neno wasukuma ndio wajinga waliojaa ukabila.