Tulioomba kujiunga University kwa sifa ya Diploma majibu vipi?

Tulioomba kujiunga University kwa sifa ya Diploma majibu vipi?

majjita 01

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
232
Reaction score
82
Wajumbe habarini za weekend, kwa yeyote mwenye fununu za wale tuliomba nafasi za kujiunga University kwa sifa ya Diploma kupitia NACTE.

Je ni lini wanatujibu coz wenzetu wa form six wameshajibiwa kupitia TCU na wakati NACTE wao walifungua pazia mapema.

Natanguliza shukrani.
 
dah hata mie nasubiri aisee, cha ajabu ktk kozi capacity ni 10, nyingine -1 dah hata siwaelewi.
 
dah hata mie nasubiri aisee, cha ajabu ktk kozi capacity ni 10, nyingine -1 dah hata siwaelewi.

kwenye hizo course capacity ya vyuo kama ni kweli bora wangesema tu kuwa hakuna nafasi kwa watu wa diploma hili tujijue.
 
Dah hata Mimi nishaumiza kichwa sana.Hadi mda mwingine najiuliza kwa masikini Kama Mimi nikikosa hii nafasi sijui nitafanya nini sina hata nauli ya Kwenda popote.safari yoyote ile ninayoifanya inahusu Miguu yangu labda nipewe lifti.Kama naona Giza Mbele hivi ila kuna sauti inaniambia nisiwe na wasiwasi'GOD'S VOICE'nitapata Na mkopo.
 
dah hata mimi nishaumiza kichwa sana.hadi mad mwingine anjouliza kwa masikini kama mimi nikikosa hi sijui nitafanya sina hata nauli ya kwenda popote.safari yo yore ile ninayoifanya inahusu miguu yangu labda nipewe lifti.kama naona giza hivi ila kuna sauti inaniambia nisiwe na wasiwasi'god's voice'.

tulimwombe mwenyezi mungu atatutangulia kamanda.

Binafsi nina imani chuo tunapata ila mkopo pia tumtangulize molla wetu.
 
dah hata mimi nishaumiza kichwa sana.hadi mda mwingine najiuliza kwa masikini kama mimi nikikosa hii nafasi sijui nitafanya nini sina hata nauli ya kwenda popote.safari yoyote ile ninayoifanya inahusu miguu yangu labda nipewe lifti.kama naona giza mbele hivi ila kuna sauti inaniambia nisiwe na wasiwasi'god's voice'nitapata na mkopo.

jipe moyo utashinda
 
dah hata mie nasubiri aisee, cha ajabu ktk kozi capacity ni 10, nyingine -1 dah hata siwaelewi.

Capacity zimeongezeka sana

pia wanasema hv

Dear ********* Your are advised
to stay cam while we are processing your
application, Incase of any issue NACTE will
contact you via provided email address or phone
number.
 
capacity zimeongezeka sana

pia wanasema hv

dear ********* your are advised
to stay cam while we are processing your
application, incase of any issue nacte will
contact you via provided email address or phone
number.

goood neeeeews.
 
Capacity zimeongezeka sana

pia wanasema hv

Dear ********* Your are advised
to stay cam while we are processing your
application, Incase of any issue NACTE will
contact you via provided email address or phone
number.

Me pia nimekutana na hill janga
 
kwenye hizo course
capacity ya vyuo kama ni kweli bora wangesema tu kuwa hakuna nafasi kwa
watu wa diploma hili tujijue.

the overall capacity for bachelor degree programs reserved for diploma holders is 31667 however there are only 17043 applicants who have applied to bachelor degree programs so far
 
the overall capacity for bachelor degree programs reserved for diploma holders is 31667 however there are only 17043 applicants who have applied to bachelor degree programs so far

thanks mkuu.

Ninayo imani vyuo tutapata
 
the overall capacity for bachelor degree programs reserved for diploma holders is 31667 however there are only 17043 applicants who have applied to bachelor degree programs so far
Bora umenipa moyo maana nilishaanza kuchanganywa na hizo capacity
 
Back
Top Bottom