Kwani kupangisha vyumba viwili,vitatu ni mpaka uwe msomi au tajiri? Tuache kusifia hali ngumu as if ni sifa kuishi kwa dhiki.Kweli jf ni chimbo la matajiri na wasomi haswa!
Yaani wanashangaa mtu kupanga chumba na sebule huku akiwa na mtoto na hg du!
Wakati kwetu buza mtu ana watoto 4 wakubwa wa jinsia tofauti na wanaishi kwenye chumba kimoja tu
Njoo nitakupa chumba kimoja peke yako ujinafasi mtoto mzuri...na verossa uache kushika bomba![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ndiwooo kumbe upo nyuma ya keybord tu unatype chochote kinachokujia huku unasimamia bomba la mwendo kasi kama shunie
Uchumi unao umeukalia...Mkuu humu jf wengi matajiri ujue hiko chumba na sebule labda me na wewe ndio tunakaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] RRONDO una nini lakiniNjoo nitakupa chumba kimoja peke yako ujinafasi mtoto mzuri...na verossa uache kushika bomba!
Uchumi unao umeukalia...
Ndio mana juna lijamaa lilileta uzi wa kuoa mwanamke goli kipa ila ukiwa njema umfungulie biashara ambayo itaweza kumfanya yy kutimiza majukumu yake ya nyumbani na biashara zake piaMkuu hizi kazi za sikuhizi mpaka saa mbili usiku bado uko ofisini unaandika ripoti na inatakiwa kwenye kikao cha kesho. Unafika nyumbani saa nne usiku. Hiyo Day Care itakayokuwa wazi saa nne usiku ipo? Dada wa kazi unampigia tu simu kuu Liza wako vipi na kumwagiza cha kupika.
Kusoma hujui hata picha huoni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] RRONDO una nini lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kusoma hujui hata picha huoni?
Mhhh karibu kijijin huku kigoma nyumba nzima unalipa 10000 room3 sebule choo na maji ila umeme hapo utajijuWakati wa kugegedana washeni redio sauti ya juu ili huyo binti wa kazi asisikie miguno ya mkeo ile ya Mmmmh Ooooh aaaassshhh taaamm hapohapooo!!!! Usitiweeeee!!! Aaaassshhh nakojoaaaaaa!!!!!
Hatari sana!!!!!
Aidha, Kwanini mpange chumba na sebule ilihali majumba ya bei rahisi yamejaa tele chamazi, mwandege, vikindu, saku, Charambe, kongowe nk?? Nyumba nzima ya vyumba vitatu unalipa 200,000 tu kwa mwezi!! Nenda huko kijana
Miaka ya nyuma kuna somo lilianzishwa shule za msingi "somo la kujitambua" ambalo lilimengwa kutoka somo la stadi za kazi/stadi za maisha, somo hili lilielezea mgawanyo wa shughuli za binadamu kiuchumu na kijamii.Walinzi au? Sasa km mshahara hautoshi si warudi kijijini wakalime!!
Sio lazima wote tuishi mjini
Good pointMiaka ya nyuma kuna somo lilianzishwa shule za msingi "somo la kujitambua" ambalo lilimengwa kutoka somo la stadi za kazi/stadi za maisha, somo hili lilielezea mgawanyo wa shughuli za binadamu kiuchumu na kijamii.
Kama ulisoma somo hili sidhani kama ungeweza kuandika maneno ya kipuuzi namna hii, hebu tafakari kidogo tu hapo Ulipo ni kwa nini kuna mtu anaingiza pesa nyingi kuliko wengine, hivi wote tungekuwa na uwezo wa kutimiliza mahitaji yetu kuna mtu angemtumikia mwenzake kweli! Kwa lipi hasa?...hata wewe "tajiri wa JF" huwezi ishi bila msaada wa mtu asiyejiweza kutimiza mahitaji yake(masikini) hivyo ili wewe uendelee kuwepo na kuudumisha utajiri wako ni lazima mtu huyu masikini awepo kwenye mazunguuko wako wa kimaisha.
Kuna umri ukifikia lazima uonyeshe ukomavu wa akili yako si kujitoa ufahamu kwa kiwango hicho ulichonacho mkuu.
Kama house girl yuko sebuleni anaangalia tv, nenda sebuleni ongeza sauti ya tv kisha zama chimbani fanya yako.Kwa kweli Leo nimewaza sana baada ya Jana kulala mapema sana nikiwa na mke wangu na mtoto wangu wa miaka miwili pamoja na house girl.
Sisi wenye chumba na sebule tuna changa moto sana hasa wakati unahitajita kufanya mapenzi na mkeo wa maisha wakati huo msichana wa kazi amelala sebuleni au yuko macho Bado anaangalia Tv, na sisi wana ndoa tuko chumbani tunahamu yakufanya mambo yetu tulale mapema.
Hata aina ya vyumba vyetu ni vidogo sana kwa sisi wapangaji kuna mda unamwambia mwenzio tusubili usiku wa manane dada wa kazi alale lakini mnaweza kusubili na hamu ziko juu, pia mambo ya mapenzi yanahitaji kujiachia sana.
Je wenzangu mnao ishi kwenye chumba na sebule na dada wa kazi analala sitting room huwa mnafanyaje kutimiza haja zenu za mapenzi na wenzi wenu bila kuwa na wasiwasi labda kelele atasikia huyo dada, pia hizo faragha mnazifanya pia mda wa mchana.
Hahaaaa!!!! Mkuu kwani mkeo muda mwingi huwa anakuwa nyumbani au ni mfanyakaziHapa anayechangia ni mwanamke...jamaa zangu wengi wametwishwa zigo hili na wake zao.
Mimi mke wangu nae alianza kuniletea mambo haya nikamwambia kama unaleta msichana wa kazi ndani basi wewe ondoka umpishe yeye, hadi leo sijasikia tena fokorokwinyo zake.
FokorokwinyoHapa anayechangia ni mwanamke...jamaa zangu wengi wametwishwa zigo hili na wake zao.
Mimi mke wangu nae alianza kuniletea mambo haya nikamwambia kama unaleta msichana wa kazi ndani basi wewe ondoka umpishe yeye, hadi leo sijasikia tena fokorokwinyo zake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Hahahaaaa bora wewe una chumba na sebure mkuu, kuna wengine tuna kimoja tu na mama mkwe kaja kusalimia hii wiki ya sita sasa.
Na wewe ulikuwa umepanga???nakumbuka mbali sana kule arusha kipindi kile kuna mbavu za mbwa pande za majengo ukuta wa mpangaji na mpangaji ni tofauti ya mifuko na maboksi.. mechi zinapigwa alifajiri chumba cha jirani halafu jimama linavyolia mpk balaa, ukijicheki umelala na mshua unaye mheshimu inabidi hio tyme ujifanye unakoroma ilikukupunguza maswali mengi kichwani mwa waliokaribu.. ilikuwa ni shida maana mpk ile friction ya nyama ilikuwa ikisikika.
nakumbuka ile familia..ilikuwa inalala na kabinti chao kwa hakika kaliharibika mapema mno
Mtamuharibu mtotobora wewe sebuleni analala hg, mimi analala mwanangu wa kiume wa miaka 16 na chumbani nalala na kakike ka miaka 5 basi hali ni mbaya kuliko unavyodhani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Umenikumbusha story Fulani.
Familia ilikuwa na watoto wawili wadogo wakufuatana ,, walikuwa na chumba kimoja kikubwa na kitanda kikubwa ambacho walilala wote watatu. Baba na mama walikuwa wakisubir watoto walale ndo wao waanze kugegedana kiuangalifu,, siku moja mechi ilikuwa Kali mpaka wakawasukuma watoto wakaanguka ikabidi mechi isitishwe wawapandishe watoto kitandani ,, basi wakatulia kama moja hiv wakahis watoto washalala tena ikabid waanze mechi upya kabla mechi haijanoga wakasikia mtoto mkubwa anamwambia mdogo wake " John jishikilie vizuri wameanza tena"