RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kwani kupangisha vyumba viwili,vitatu ni mpaka uwe msomi au tajiri? Tuache kusifia hali ngumu as if ni sifa kuishi kwa dhiki.Kweli jf ni chimbo la matajiri na wasomi haswa!
Yaani wanashangaa mtu kupanga chumba na sebule huku akiwa na mtoto na hg du!
Wakati kwetu buza mtu ana watoto 4 wakubwa wa jinsia tofauti na wanaishi kwenye chumba kimoja tu