Tuliopigwa makofi na mademu zetu nakuachana ingia hapa

Mpole je?
Always watu wapole huwa na kiburi cha chini chini, pia unaweza uka mkosea asikwambie aka vumilia tuu na anaweza aka kwambia pia akavumilia tu! ila siku moyo wake ukisema basi ujue basi ila muongeaj una mkosea ana kuchamba ya kiisha yame isha! mtu mpole huifadhi vitu moyoni
 
Si wengne kwenye ukoo wetu yesu alipitaga
 
Duh..! Bas hapa ilikua mpole miksa mkali
 
Chochote kinaweza kutokea popote kuusu kupigwa makofi na wife/demu Ni kawaida sana huenda alitaka kufikisha ujumbe flani lakini akataka kwanza uchangamke au amekutathmini ulivyo boya anakusaliti lakini haujasanda sasa anaona huyu bwege ngoja nimpe za kijeshi huenda akazinduka na hata kama wewe bondia kuna kofi ukipigwa unasahau kama umewahi kucheza ngumi kabisa
 
Etii upigwe makofi na demu sijui mkeo, wewe mwanaume kweli?

Wanaume wa dar noma aibu kubwa sana!
 
Dah..!! Nakumbuka demu Pendo Alinimamata makofi mpaka nkaangukia kwenye beseni la mavyombo machafu

Afu leo amekuja eti "baby nimekumiss"


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kofi kabisa 'zabu' hadi ukapepesuka mwanaume mzima na kukita kwene karo la ukoko! Aibu yako.
Makofi, matusi na masimango ni njia ama dawa ya kuboresha penzi.
Amekumiss kweli wala hakutanii.
Kwani wewe haujammiss? Wacha wee!
Jikaze urudishe mahusiano uone utakavyoona raha, hadi chozi kabisa la maji litakutoka kwa raha zako maana mmekamiana kama ma nzagambamamba na hautakuja tokeza tena jf kuanzisha uzi ama kurudia kuchezea shilingi chooni. Yaani utadhibitika na hautakuja kuachia ngazi tena maisha.
 
Kunimiss kunilapua makofi


Bora kila mt afe kivyake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba ni bongo daslama hao...hawanaga nguvu zaidi ya za kugombania daladala tyuuu
Nguvu zao zimeishia hapo. Kwanza ningekua ndo mimi huyo mwanaume kesho namuaxha siwezi kukupiga kibao ukakaa kimya ni ujuha huo. Huyo mwanamke nae atakua mkurya. Unapigaje mwanaume kibao
 
Kunimiss kunilapua makofi


Bora kila mt afe kivyake
Zabuliwa mkuu, si mapenzi bwana? Akampige nani sasa! Akapige wazazi wake?
Ukijaliwa na wewe siku moja ukamzidi mbinu utaweza hata kumtandika kwa kutumia silaha nzito aina ya wax ama dera na kumfanya akukome na akuheshimu maisha.
 
Bila shaka we ni mwanaume wa hili jiji letu la joto.

Mwanamke anakupigaje sasa? Ulimrudishia au ulibaki unajishika shavu?
Alianza kunifanyia visa kama hv


Kuni siku nimelala fofofo akaja akanizaba kofi nkainuka kwa kukurupaka nashangaa ananibembeleza"Oonh my umeota ndoto mbaya nin ndoto gan hyo"




Sikuelewa kofi la ndoton au la ukwel ukwel
 
Alianza kunifanyia visa kama hv


Kuni siku nimelala fofofo akaja akanizaba kofi nkainuka kwa kukurupaka nashangaa ananibembeleza"Oonh my umeota ndoto mbaya nin ndoto gan hyo"




Sikuelewa kofi la ndoton au la ukwel ukwel
We kaka hauko sawa na huyo mwanamke atakua ana pepo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We kaka hauko sawa na huyo mwanamke atakua ana pepo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda ndo maana alinielemea
Ningetakiwa nipigane nae kwa biblia na maji ya baraka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…